ARUSHA: Maduka matano yameteketea kwa moto

Hakuna mtungi wa gesi uliolipuka japokuwa kuna milipuko ambayo ni minor na alisababishwa na perfumes na pombe kali zile ambazo ni explosives in nature
na kweli hapo ndani kwa vitu vya luseseko nlipapenda sana so sad. Ulikuwa ukipita unanunua mkate ama lotion ukipiga macho na kukutana na luseseko thirster hakia nani unaharibu ratiba.
 
Jamaa ameokoa pesa kasema asepe na gari lake sijui akiwa njiani akakumbuka nini akapagawa,akagonga gari tena. Nafikiri ndani kutakuwa na pesa mingi maana waliowahi kuingia kuopoa wamezoa pesa za kutosha
 
mtaji wa mtu unaanguka hivihivi dah so sad. lazma kuchanganyikiwa mkuu.
 
Pole kwa wote waliofikwa na hilo janga..

Umuhimu wa bima unabidi uenezwe kwa wafanya biashara kuepuka hasara kama izo
 
mtaji wa mtu unaanguka hivihivi dah so sad. lazma kuchanganyikiwa mkuu.
Mwenye hiyo Supermarket ni mtoto wa Cheusi mwenye Salina supermarket, naamini watarejesha biashara soonest,shida ni kwa hayo maduka mengine ya wenzangu na Mimi.
Poleni sana majirani zangu!
 
Ha ha (sicheki kwa mazuri ) huu uongo ni wa kiwango cha lami mkuu. Hana hata uhusiano na yeye kabisa. Mimi Baraka namjua fika toka anaanza.
 
Poleni sana wana Arusha hapo Mianzini jamani lakini hope hakuna injuries!!!
 
Ha ha (sicheki kwa mazuri ) huu uongo ni wa kiwango cha lami mkuu. Hana hata uhusiano na yeye kabisa. Mimi Baraka namjua fika toka anaanza.
Isiwe kesi,basi yaaishe.
Kama hana uhusiano na Cheusi mwenye Sakina supermarket.
 
Back
Top Bottom