Omulasil
JF-Expert Member
- May 5, 2015
- 7,424
- 9,358
Hii tathimini ya kuwa wananchi wa kawaida 5000 wanapoteza imani ni kwa utafiti upi? Nauliza tu. Povu sana hata hivyo nahitaji kufuaHii ccm ya magu na Polepole ni kituko kweli! Unajipatia madiwani wawili kwa hadaa lakini unapoteza imani ya moyoni kwa wananchi wa kawaida 5000 hiyo ni akili au matope?
Kama watu wanajiunga kwako kwa mapenzi na kufurahishwa na utendaji wako nini sababu ya uchaguzi wa hila?