Arusha: Madiwani watatu wa CHADEMA wajiuzulu na kujiunga na CCM

Hongera JPM, Bashiru na Polepole kwa juhudi zenu kupambana kujenga ccm mupyaa.
2020, neno la hisani toka JPM, mabolozi juzi ' 2020 uchaguzi huru na wa haki' lisimame tupime uhalisia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lema naye wakati wowote anakimbia ulaghai huko chadema

Sent using Jamii Forums mobile app

Kaondoka Slaa na bado watu hawakumfuata ndio itakuwa Lema akiondoka? Uzuri wananchi walishaamka kitambo, hasa hao wananchi wa Arusha sina shaka nao. Kiongozi yoyote anayekwenda kupigania mlo sina tatizo naye ili mradi bado wananchi wanajitambua.
 
Kipindi cha JK tulikuwa tunaambiwa na machadema kwamba Kaskazini ikiwemo Arusha hakuna wachumia tumbo na kwamba kule watu wana msimamo!

Wakawa wanajigamba kwamba hata Kikwete akienda wanaweza kumfukuza
Lakini Lema kapigwa ndani makamanda yakawa yanachungulia tu kwa mbali kwa uoga yasijue la kufanya.
Nawauliza makamanda wa mikoa hiyo msimamo mmepelaka wapi?

Mbwembwe nyingi kumbe mko kama mrenda tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Waende fasta. Tutakutana nao October 2020
 
Tena wamechelewa sana.. watoke na wale ambao bado wanajishuku watoke tu.
 
Madiwani wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Arusha watangaza kujiuzulu na kuhamia Chama Chama cha Mapinduzi (CCM). Madiwani hao ni Zacharia Mollel wa kata ya Oloirieni, diwani wa kata ya Themi Melance Kinabo na diwani wa Kata ya Unga Limited James Lyatuu.
Njaa. Sasa kama madiwani wanakopwa vikao, halmashauri zingine wanadai hadi billions anaachaje kuchukua chake mapema akaunge mkono "juhudi".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Madiwani wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Arusha watangaza kujiuzulu na kuhamia Chama Chama cha Mapinduzi (CCM). Madiwani hao ni Zacharia Mollel wa kata ya Oloirieni, diwani wa kata ya Themi Melance Kinabo na diwani wa Kata ya Unga Limited James Lyatuu.
Malaya wa Siasa waende hata wakajiunge na Yanga hakuna wanasiasa Tanzania njaa tupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna clip nimekutana nayo inayoonesha madiwani 3 wafuatao wa jiji la Arusha CDM wakitangazia umma kuwa wanajiuzulu udiwani na kuachana na uanachama wa CHADEMA kisha kujiunga na CCM. Walifanya hivyo jana kwa mujibu wa clip hiyo.
Zacharia A. Molel diwani wa Oloirieni
James M Lyatuu diwani wa Unga limited
Melance E Kinabo kata ya Themi
Kisanyage Innocent Katibu wa CHADEMA jiji la Arusha

Kinabo anasema "nimejiuluzu kwasbabu sioni future ya chadema kwenye upande wa kuleta maendeleo kwenye jiji la Arusha na Tanzania kwa ujumla. Lakini pia nimpongeze mkurugenzi wa jiji la Arusha Mr . Madeni kwa kazi kubwa anayoifanya bila ubaguzi wa vyama ndani ya jiji la Arusha"

Zacharia Molel " Kwa hiari yangu mwenyewe nimeamua kujiuzulu nafasi yangu ya udiwani na kujiunga na ccm , sababu ni moja tu kuongeza wigo na fursa ndani ya kata yangu na pia ni kuona jinsi mheshimiwa rais anavyofanya kazi ya maendeleo ndani ya nchi yetu , lakini pia mkurugenzi wetu ambaye amekuwa akishirikiana pamoja na sisi ndani ya jiji la Arusha na kuweza kufanya kazi zinazoweza kuonekana kwa macho ya kibinadamu kwahiyo nikaona sitakuwa na uzalendo kuendelea ndani ya chadema kwasababu sioni nini kinafanyika huko hayo yanayofanyika huko ni malumbano na majungu mengi hivyo nikaona nichukue fursa hii kujiunga na wanaoleta maendeleo"

James Lyatuu "bila kushawishiwa au kufosiwa na mtu yeyote nimeamua kujiuzulu udiwani na nyadhifa zangu zote nilizokuwa nazo cdm ili niweze kuunga juhudi za maendelo yanayofanywa na rais kuleta maendeleo makubwa ambayo tunayaona kujenga madaraja makubwa, kununua ndege amefanya maendeleo makubwa hata kwenye kata yangu amefanya. Tunapitisha bomba la maji taka , bado tunakuja tunatengeneza barabara ya lami pamoja na hayo leo nimehakikisha inaingia kwenye budget ya 2020/2021 ujenzi wa shule ya secondary eneo la mwembeni na mkurugenzi Dk Madeni amenihakikishia kwamba pale tutajenga sekondary ya kiwango cha juu sana cha gorofa. nimetoka kwenye kikao cha mwisho cha baraza la madiwani kitakachotekelezwa 2020/2021 wale ambao walikuwa wananiunga mkono cdm na wale ambao walikuwa waniona adui wao (ccm) sasa wanichukulie kama ndugu zao, ccm nguvu moja lakini pamoja na hayo nimetazama future kwenye chama changu, sioni future kwenye chama changu"

Kisanyagi anasema "nilikuwa katibu wa cdm Arusha mjini najiuzulu kwa ridhaa yangu uongozi ndani ya chama na uanachama ndani ya cdm , naunga mkono jitihada za rais wa JMT kwa haya yanayofanyika kupeleka nchi kwenye uchumi wa kati wa viwanda na miradi mikubwa ya maendeleo itakayokuwa na faida kwa siku za usoni . Nimeamuakujitoa chadema kwasababu hakiyafanyi yale wanayoamini na kimepoteza muelekeo"

MAONI YANGU
1. Nampongeza sana Mkurugenzi wa jiji la Arusha (usiniulize kwanini)
2. Chadema poleni sana najua mnapitia maumivu makali kupoteza kizembe jimbo na kata mlizozipata kwa jasho na damu
3. Kama kweli madiwani hawa wamejiuzulu kwa hiari yao basi bado tuna kazi kubwa sana ya kufanya kuleta uelewa juu ya kazi na majukumu ya upinzani
4. Madiwani wanapswa kupewa semina juu ya kazi zao ,kazi ya upinzani kwa ujumla na kazi ya serikali pamoja na chama tawala.

Kindi
3.
Watu wa kaskazini wasikie tu,naweza Sema kwenda huko yaweza kuwa mpango.
Mchaga hawezi mtupa mchaga mwenzie Wana umoja mchana na hata kwa vikao vyao usiku.
Tusubirie maaana tume huru haipigi kura na hata hai madiwani pia kura zao hazitaondoa ushindi kwa upinzani,maana raia waliumizwa kwa ajiri yao Leo walete mambo yao ya kienyeji.
Kura znapigwa na wananchi
 
Madiwani wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Arusha watangaza kujiuzulu na kuhamia Chama Chama cha Mapinduzi (CCM). Madiwani hao ni Zacharia Mollel wa kata ya Oloirieni, diwani wa kata ya Themi Melance Kinabo na diwani wa Kata ya Unga Limited James Lyatuu.

Waondoke tu maana uchaguzi umekaribia.
 
Hiyo ilifahamika kitambo baada ya Meya kuunga juhudi mkono kwamba kuna watu watamfuata,

Waende salama wasaliti wa wananchi.
 
Kuna clip nimekutana nayo inayoonesha madiwani 3 wafuatao wa jiji la Arusha CDM wakitangazia umma kuwa wanajiuzulu udiwani na kuachana na uanachama wa CHADEMA kisha kujiunga na CCM. Walifanya hivyo jana kwa mujibu wa clip hiyo.
Zacharia A. Molel diwani wa Oloirieni
James M Lyatuu diwani wa Unga limited
Melance E Kinabo kata ya Themi
Kisanyage Innocent Katibu wa CHADEMA jiji la Arusha

Kinabo anasema "nimejiuluzu kwasbabu sioni future ya chadema kwenye upande wa kuleta maendeleo kwenye jiji la Arusha na Tanzania kwa ujumla. Lakini pia nimpongeze mkurugenzi wa jiji la Arusha Mr . Madeni kwa kazi kubwa anayoifanya bila ubaguzi wa vyama ndani ya jiji la Arusha"

Zacharia Molel " Kwa hiari yangu mwenyewe nimeamua kujiuzulu nafasi yangu ya udiwani na kujiunga na ccm , sababu ni moja tu kuongeza wigo na fursa ndani ya kata yangu na pia ni kuona jinsi mheshimiwa rais anavyofanya kazi ya maendeleo ndani ya nchi yetu , lakini pia mkurugenzi wetu ambaye amekuwa akishirikiana pamoja na sisi ndani ya jiji la Arusha na kuweza kufanya kazi zinazoweza kuonekana kwa macho ya kibinadamu kwahiyo nikaona sitakuwa na uzalendo kuendelea ndani ya chadema kwasababu sioni nini kinafanyika huko hayo yanayofanyika huko ni malumbano na majungu mengi hivyo nikaona nichukue fursa hii kujiunga na wanaoleta maendeleo"

James Lyatuu "bila kushawishiwa au kufosiwa na mtu yeyote nimeamua kujiuzulu udiwani na nyadhifa zangu zote nilizokuwa nazo cdm ili niweze kuunga juhudi za maendelo yanayofanywa na rais kuleta maendeleo makubwa ambayo tunayaona kujenga madaraja makubwa, kununua ndege amefanya maendeleo makubwa hata kwenye kata yangu amefanya. Tunapitisha bomba la maji taka , bado tunakuja tunatengeneza barabara ya lami pamoja na hayo leo nimehakikisha inaingia kwenye budget ya 2020/2021 ujenzi wa shule ya secondary eneo la mwembeni na mkurugenzi Dk Madeni amenihakikishia kwamba pale tutajenga sekondary ya kiwango cha juu sana cha gorofa. nimetoka kwenye kikao cha mwisho cha baraza la madiwani kitakachotekelezwa 2020/2021 wale ambao walikuwa wananiunga mkono cdm na wale ambao walikuwa waniona adui wao (ccm) sasa wanichukulie kama ndugu zao, ccm nguvu moja lakini pamoja na hayo nimetazama future kwenye chama changu, sioni future kwenye chama changu"

Kisanyagi anasema "nilikuwa katibu wa cdm Arusha mjini najiuzulu kwa ridhaa yangu uongozi ndani ya chama na uanachama ndani ya cdm , naunga mkono jitihada za rais wa JMT kwa haya yanayofanyika kupeleka nchi kwenye uchumi wa kati wa viwanda na miradi mikubwa ya maendeleo itakayokuwa na faida kwa siku za usoni . Nimeamuakujitoa chadema kwasababu hakiyafanyi yale wanayoamini na kimepoteza muelekeo"

MAONI YANGU
1. Nampongeza sana Mkurugenzi wa jiji la Arusha (usiniulize kwanini)
2. Chadema poleni sana najua mnapitia maumivu makali kupoteza kizembe jimbo na kata mlizozipata kwa jasho na damu
3. Kama kweli madiwani hawa wamejiuzulu kwa hiari yao basi bado tuna kazi kubwa sana ya kufanya kuleta uelewa juu ya kazi na majukumu ya upinzani
4. Madiwani wanapswa kupewa semina juu ya kazi zao ,kazi ya upinzani kwa ujumla na kazi ya serikali pamoja na chama tawala.

Kindi
3.

Hakuna hiari hapo. Kuna ndugu wa mmojawao alidai kufuatiliwa kwa siku nne na wasiojulikana. Let the boys be separated from men.
 
Back
Top Bottom