Wamekufa wangapi mida hii?Hali sio hali Kwa Sasa Maandamano yameanza upya Morombo,ngaramtoni na arumeru.
Ntaleta update ya kinachoendelea
Hii ni zaidi ya ukanda wa Gaza 😑😑Hali sio hali Kwa Sasa Maandamano yameanza upya Morombo,ngaramtoni na arumeru.
Ntaleta update ya kinachoendelea
Tuletee mkuu. Waambie wamsalimie Makonda.Hali sio hali Kwa Sasa Maandamano yameanza upya Morombo,ngaramtoni na arumeru.
Ntaleta update ya kinachoendelea
Na kote huko upo!Hali sio hali Kwa Sasa Maandamano yameanza upya Morombo,ngaramtoni na arumeru.
Ntaleta update ya kinachoendelea
...Ukweli watu wanamaumivu sana ya kilichotokea na wanashindwa kupata closure kutokana na kutopata nafasi ya kuzika ndugu zao
Lete picha... Mimi nalianzisha hapa DodomaHali sio hali Kwa Sasa Maandamano yameanza upya Morombo,ngaramtoni na arumeru.
Ntaleta update ya kinachoendelea