Arusha: Lema amewapa kilema Wanaarusha

Jamaa alitakiwa asome alama za nyakati kama wenzake akina Mnyika.

Sasa wache awe mfano kwa wengine.

Alijuwa hajijui kuwa alikuwa "hot target"sasa kaingia mwenyewe,sasa ndio atajua nini maana ya dola.
 
wanaomuunga mkono lema ni wapiga debe,,bodaboda na vijana wa unga ltd uko,,sasa hivi tunalia Utalii umeshuka,,mtalii gani atakuja Arusha wakati mbunge source ya vurugu na maandamano,,mahoteli yanafungwa kwa kukosa wateja,,vijana wakupandisha watalii ajira zimekufa so wanashindwa kuendesha familia zao,,husisifie kitu kwa kupata maelezo from street guys,,nenda kwa wamiliki wa makampuni na mahoteli kawaulize what goes on right now?

lema sio mbunge na hafai hata kuwa mjumbe wa nyumba 10 kwa ufupi anapaswa kufungwa tuu ili watu watulie na shughuli za maendeleo zirejee katika hali yake kama hawali.
 
Katika watu ambao hawana aibu hapa duniani ni wewe ndugu yangu!

Yaani unajua kabisa kua upo ukawa halafu bado unakomaa tu kudanganya kua ni ccm hata baada ya kugundulika janja yako!

Very cheap propaganda!
 
Katika watu ambao hawana aibu hapa duniani ni wewe ndugu yangu!

Yaani unajua kabisa kua upo ukawa halafu bado unakomaa tu kudanganya kua ni ccm hata baada ya kugundulika janja yako!

Very cheap propaganda!
Muda utaongea maana maongezi ya keyboard ni hiari
 
Katika watu ambao hawana aibu hapa duniani ni wewe ndugu yangu!

Yaani unajua kabisa kua upo ukawa halafu bado unakomaa tu kudanganya kua ni ccm hata baada ya kugundulika janja yako!

Very cheap propaganda!
me nna card ya ccm toka 1995 ila kilichonifanya niwe ukawa ni madudu ya serikali ya hawamu ya 4,,nani aliipenda ccm ile ya kikwete?ila hawamu hii walau imeanza kunipa majibu ya kuichukia ccm so cna 7bu ya kuendelea kuichukia
 
Inatumika nguvu kubwa ya kumpamba Lema.Lema amekwisha,hata akitoka leo atakuwa si lema yule.Huwezi kuujua ubaya wa jela ukiwa nyuma ya keyboard,waulizeni waliongia mahabusu japo wiki watawapa habari
 
Bila Shaka ww ulieandika huu uzi utakuwa mtu wa kule kwenye Mlima mrefu
 
Arusha ipi inampenda Lema hata Mahakamani haiendi[/QUOTE
Wakienda mahakamani muwapige na kuwashika then mje huku kujidanganya wenyewe "eti amechokwa".,nguvu kubwa mnayoitumia kummaliza hamjui ya kwamba mwajimaliza wenyewe.
 
Ulaghai una mwisho wake na kawaida yake haudumu. Cadomo mmeanza kuweweseka, mna hofu ya Lema kwenda Jela Mwafa....!
Kama ndivyo mnavyotaka atakwenda. Kwanza nawashangaa mnahangaika na mahakama. Ila atabaki kuwa Lema hatasalim utesi wenu. Na sisi wengine tupo naye katika yote
 
Ul.itembelea vijiwe gani vya Arusha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…