M MENGELENI KWETU JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 9,557 Reaction score 24,182 Jan 10, 2017 #101 Mungu aendelee kukulinda Godbless Lema
L lucas mollel JF-Expert Member Joined May 30, 2016 Posts 255 Reaction score 133 Jan 10, 2017 #102 Inaonyesha jinsi wengi wenu chadema mlivyo mbumbumbu.mfungwa ni mfungwa tu.
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 102,675 Reaction score 126,914 Jan 11, 2017 #103 kengeledoi said: mkuu umenifurahishaππππππ Click to expand... Ndiyo ukweli wenyewe.
kengeledoi said: mkuu umenifurahishaππππππ Click to expand... Ndiyo ukweli wenyewe.
DUBULIHASA JF-Expert Member Joined Nov 26, 2016 Posts 5,974 Reaction score 11,489 Jan 11, 2017 #104 Earthmover said: ..... .....LEMA umetisha Arusha kama London Sakina Mianzini Sanawari Philips Kimandolu Mpaka Tengeru road ya kutisha Click to expand... Mkuu yaan hii road ni full carpet wala co sir
Earthmover said: ..... .....LEMA umetisha Arusha kama London Sakina Mianzini Sanawari Philips Kimandolu Mpaka Tengeru road ya kutisha Click to expand... Mkuu yaan hii road ni full carpet wala co sir
MAGALEMWA JF-Expert Member Joined Jul 8, 2015 Posts 6,413 Reaction score 4,889 Jan 11, 2017 #105 lucas mollel said: Inaonyesha jinsi wengi wenu chadema mlivyo mbumbumbu.mfungwa ni mfungwa tu. Click to expand... Kama Mandela alivyokuwa mfungwa na makaburu wazungu Lema anasumbuliwa na makaburu uchwara
lucas mollel said: Inaonyesha jinsi wengi wenu chadema mlivyo mbumbumbu.mfungwa ni mfungwa tu. Click to expand... Kama Mandela alivyokuwa mfungwa na makaburu wazungu Lema anasumbuliwa na makaburu uchwara
mizambwa JF-Expert Member Joined Oct 8, 2008 Posts 4,421 Reaction score 1,792 Jan 23, 2017 #106 GONGA5 said: Naanza kugundua kuwa BAVICHA wote ni KE, Click to expand...
Kisu Cha Ngariba JF-Expert Member Joined Jun 21, 2016 Posts 22,133 Reaction score 48,858 Jan 23, 2017 #107 Lema ni sawa na ccm nzima,kuanzia mwenyekiti mpaka wanachama.
N Najaribu Member Joined Aug 18, 2010 Posts 19 Reaction score 5 Jan 24, 2017 #108 lucas mollel said: Inaonyesha jinsi wengi wenu chadema mlivyo mbumbumbu.mfungwa ni mfungwa tu. Click to expand... Uelewa wako ni mdogo saaaaana - hujui hata tofauti kati ya mfungwa na mahabusu! Sasa mbumbumbu ni wewe si Chadema! Upo hapo!
lucas mollel said: Inaonyesha jinsi wengi wenu chadema mlivyo mbumbumbu.mfungwa ni mfungwa tu. Click to expand... Uelewa wako ni mdogo saaaaana - hujui hata tofauti kati ya mfungwa na mahabusu! Sasa mbumbumbu ni wewe si Chadema! Upo hapo!
M Mkirindi JF-Expert Member Joined Mar 2, 2011 Posts 6,752 Reaction score 4,974 Jan 24, 2017 #109 Ndugu vuta, umewadhalilisha sana viongozi NA Madiwani wote wa chadema, japokuwa Lema ni kiungo muhimu sana kwa chadema mkoani Arusha, lakini haimaanishi viongozi NA madiwani wa Arusha hawana uwezo wa kutekeleza majukumu yao bila ya muongozo wa lema
Ndugu vuta, umewadhalilisha sana viongozi NA Madiwani wote wa chadema, japokuwa Lema ni kiungo muhimu sana kwa chadema mkoani Arusha, lakini haimaanishi viongozi NA madiwani wa Arusha hawana uwezo wa kutekeleza majukumu yao bila ya muongozo wa lema