Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 25,991
- 25,330
.....Apambane tu hata Nelson Mandela alikaa jera lakn baadae wakamkubali hvo IPO SKU lema atakubalika tu...nakuwa kiongoz mkubwa hapa Tz, tunamubea sana ashnde kes zake na ikiwezekana 2020 Tumpe urais.
Lahaula [emoji40] [emoji40].....
.....huku chuga imesha batizwa LEMA Road
.....Lahaula [emoji40] [emoji40]
Mwambieni Lema awaambie watu wake ukweli kuwa hiyo barabara ni ya nani asiibw ujiko kwa vitu havimuhusu [emoji2] [emoji2] [emoji2] .
Akifanya hivo ina maana kuwa kaishiwa
Ulaghali huu.......
.....kodi za wanaArusha
......Ulaghali huu..
Unajua hili jukwaa linazo data kibao za hiyo barabara na hata uzinduzi wake uko humu?
Afu unadanganya watu kuwa barabara imejengwa kwa kodi za wana Arusha...??
Kuweni na aibu hata kidogo.
Inaonekana humpendi tu Lema ndio maana umeharakisha kuita 'taarabu' hicho kilichoandikwa, kutoonyeshwa ushahidi hakuondoi ukweli, kwamba madiwani wa Arusha wamekuwa wakimwomba ushauri Lema wa namna ya kuendesha mambo jijini humo, kama ambavyo ilikuwa ikifanyika kabla hajawekwa mahabusu. Hapa unataka upewe ushahidi wa namna gani? Wa Lema akitoa ushauri kwa madiwani? Ulitakiwa wewe unayeiona kuwa kilichoandikwa ni "taarabu" uonyeshe "utaarabu" wake!Habari yoyote isiyo na ushahidi, ni taarabu tu! Hapo juu, Ruttashobolwa ameomba mfano mmoja tu wa maamuzi yaliyofanywa baada ya kuomba ushauri kutoka kwa Lema. Kimya!
Kama wewe unao, uweke hapa na nitaomba samahani kwa kauli yangu. Ukikaa kimya, mi niko sawa!!!
Acha uoga Ni aibu sana kama wewe Ni wa jinsia ya "ME"Unawatesa wazazi wako, hebu jitokeze au mpigie simu kama mzazi hisia za kukukosa mwanae zinamuumiza.
Mungu atamsaidia sana
Hawajashindwa mkuu, amri inatekelezwaHivi Ni Kweli Kuwa Mawakili Wasomi wa Chadema Wameshindwa Kufurukuta Mbele Ya Mawakili Wa Serikali?
Kuna jambo limejificha hapa.Hawajashindwa mkuu, amri inatekelezwa
Hiyo ikimaanisha CCM haina mbunge hata mmoja. Wale unaowaona wanagongagonga meza kama mzee Morris akipiga ngoma ujue si wabunge bali naniliu... (tumia masabur.i hapo kunielewa)Akili ya bavicha bana...bunge wenyewe halizidi wabunge 400!
Ni uhuni wa kisheria unafanyika.Hivi Ni Kweli Kuwa Mawakili Wasomi wa Chadema Wameshindwa Kufurukuta Mbele Ya Mawakili Wa Serikali?
Sasa hapo taarabu iko wapi mkuu? Au ni kwa kua hujawahi kua Bos mahali na ukaingia gerezani? Sikiliza sasa nkuambie...Post ya ajabu kabisa hii. Inawezekana vipi Mzee kama wewe uandike habari kama mashairi ya taarabu!
Aise, kajenga kamanda lema hii??.....
.....LEMA umetisha Arusha kama London Sakina Mianzini Sanawari Philips Kimandolu Mpaka Tengeru road ya kutisha
Wacha mpa promo za uongo..huo mradi wa barabara ni wa EAC funded by ADB..hakuna chama cha siasa hapo.....
.....LEMA umetisha Arusha kama London Sakina Mianzini Sanawari Philips Kimandolu Mpaka Tengeru road ya kutisha
Hizo fund mbona hazikufanyika kipindi cha felix mrema au kinana? Acheni wivu kila jambo hunda na nyota baba, na Arusha now watu wanaishi kwa kufaidi nyota ya muwakilishi wao.Wacha mpa promo za uongo..huo mradi wa barabara ni wa EAC funded by ADB..hakuna chama cha siasa hapo
mkuu umenifurahishaππππππHajakosa dhamana mbali kanyimwa dhamana.