Arusha: Lema 'aendelea kuongoza' akiwa mahabusu

Anaweza kutoa mawazo ila kujua kama ameota au amefikiria ndiyo itakuwa shida,wangewacha kumsikiliza kwa sasa mpaka akipona.
 
arusha kuna vijana shupavu, vijana wa mujini kama kina ally bananga
 
Hivi Ni Kweli Kuwa Mawakili Wasomi wa Chadema Wameshindwa Kufurukuta Mbele Ya Mawakili Wa Serikali?
Mawakili wa serikali wapi sasa?kuna mtu mmoja mwenye roho mbaya ndio kasimamia huo udhalimu
 
Sherikari nzima inapambana na mtu mmoja Lema… kweli Lema kiboko
 
Unaishi lumumba Dar es salaam ya lema na upinzani yanakuhusu nn
 
Tz tuna mambo INA maana waliopo nje hawezi kufikiri vizuri mpaka aliyopo mahabusu atoe maamuzi nini kifanyike huko nje.

Tuna kazi kubwa kufika Maendeleo ya kweli kama kama viongozi Huru wanategemea mawazo ya kiongozi ambaye yuko under custody.

Tungekuwa Tuko uwanja wa vita sawa lakini watu wako Huru mmmmh its ridiculous
 



Hahaha! Naona unapoteza muda lema kaanza nyooka .
 


Mahabusu ndio ofisi yake Lema, mwacheni awakilishe wananchi akiwa mahabusu bana, isitoshe yeye mwenyewe anapapenda mno.
 
.....
.....LEMA umetisha Arusha kama London Sakina Mianzini Sanawari Philips Kimandolu Mpaka Tengeru road ya kutisha
Afu watu wanadanganyana kuwa hii road imetokana na mbunge Lema [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Kumbukeni tu kuwa uongo ni dhambi.
 
Apambane tu hata Nelson Mandela alikaa jera lakn baadae wakamkubali hvo IPO SKU lema atakubalika tu...nakuwa kiongoz mkubwa hapa Tz, tunamubea sana ashnde kes zake na ikiwezekana 2020 Tumpe urais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…