Wafanyabiashara wadogowadogo wameandamana kwenda kwenye ofisi za manispaa zilizoko maeneo ya Levolosi wakipinga unyanyasaji unaofanywa na mgambo wa kunyang'anywa vitu vyao na kuvigawana...
Hii style ya mgambo wa jiji kuwapokonya "malofa" wenzangu bidhaa zao na kugawana ni DHULMA kubwa sana! Ipo siku mnyonge atapata mtetezi wake. Msishangae baaden tukasikia wamepigwa mabomu ya machozi
Wafanyabiashara wadogowadogo wameandamana kwenda kwenye ofisi za manispaa zilizoko maeneo ya Levolosi wakipinga unyanyasaji unaofanywa na mgambo wa kunyang'anywa vitu vyao na kuvigawana...
Hujue hii inatoa maana kabisa ya Breaking News, mfano wewe kule kwenu maeneo ya Nyambiti au Nyanguge ukiona nyoka tu unakimbila JF na kuandika Breaking News. Nimeona nyoka.