Arusha kupandisha Bendera yake?

Mie kesho saa 10 alfajiri nitakuwepo ndani ya viwanja vya Mahakama nikisubiria walinzi wafungue geti.Kitaeleweka tu.
 
Akili zingine ukwaju kweli sijui umepata wapi mamlaka ya kuwasemea watanzania...

Kama mnataka kujitenga ni nyie Wachagga sisi watanzania bado ni wamoja..

Mnatataka kuleta fujo nchini na mvunje amani

Sasa mbona unajichanganya? Na wewe umepata wapi mamlaka ya kuwasemea watanzania?

Kweli "miafrika ndivyo tulivyo"
 
wapo wengi sana humu. Wanatetea tusijitenge ili waendelee kutuibia.
Kukuibia nini?... hivi kati ya arusha na mtwara au lindi ni wpi wana rasilimali za maana? unaweza kufananisha 8 trillion cubic feet za gesi na mgodi gani hapa Tanzania?
Most of you guys are not natives of Arusha anyways!
 
mshaanza kuongelea kujitenga hata nchi hamjachukua ama kweli tamaa iliua fisi
 

atamalza but kwa kashifa nying sana,bila kuangalia itikad yangu jaman cc n watz iweje 2umizane kwa mizozo icyo kwisha kla cku polic arusha wame2mia mabomu nk achen jaman 2ijenge nch ye2 after 2015
 

atamalza but kwa kashifa nying sana,bila kuangalia itikad yangu jaman cc n watz iweje 2umizane kwa mizozo icyo kwisha kla cku polic arusha wame2mia mabomu nk achen jaman 2ijenge nch ye2 after 2015
 
Kukuibia nini?... hivi kati ya arusha na mtwara au lindi ni wpi wana rasilimali za maana? unaweza kufananisha 8 trillion cubic feet za gesi na mgodi gani hapa Tanzania?
Most of you guys are not natives of Arusha anyways!
Hawa si ndio wale Wakenya walio ingia kwa njia za panya.
 
kwa mtaji huu wa serkali hii na kwa dharau yake naunga hoja mkono ,
tukitaka kwenda huko kwetu mbeya tutakuwa na passport,
tukitaka kwenda huko kwetu moshi pia tutakuwa na passport,
haijalishi naunga hoja mkono.
 
We kweli umechanyikiwa.

Tatizo la Arusha si serikali, tatizo ni mbunge wenu anawatumia ili apate umaarufu. Anatumia nguvu badala ya akili.

Nini kinachowafanya kilimanjaro nao watamani kujitenga?.

Yeyote anayejaribu kuivunja Tanganyika alaaniwe!
 

hii Nchi tuigawane tu, watakaobaki masikini ni waswahili wa MSOGA na BAGAMOYO ambao wakishavua samaki mmoja wanakaa barazani wakipunga upepo na kula kachori.
 
kaka!!!! you are overworking youself kwa mawazo ya huo ujinga hapo juu!!!!!!!!!!!!!!!! hata kama ni hujuma hii sasa imefikia kubaya. nadhani ile dhana kuwa serikali ni dhaifu watu wanataka kupotoka nayo. liberal goverment is non dictator goverment.
vyombo vya dola vya kukandamiza huu upuuzi wote vipo na vinatosha. ila baba riz1 haoni kama kuna haja ya kukandamiza watu wanaotoa kinyesi chao toka vichwani mwao kama huyo kaka aliepost hiyi thread.
dont worry bro,, nini tanganyika!! HATA tanzania itaendelea kuwepo milele kwani misingi ya uundwaji wake imejengwa juu ya mwamba.
hebu muulize huyo kichaa,,, MANGI MAREALE na yeye aliendaga UNO kumuwakilisha nani???? wakati watanganyika wengine wanaipigania nchi yao kuna makabila yalikuwa begakwabega na wazungu wakoloni na leo hii tunachokiona ni walewale wasaliti wa uhuru kutaka kuchukua nchi kwa gharama yoyote NARUDIA kwa gharama yoyote. mungu inusuru nchi yangu na hawa wakaanga sumu-------amen
 
Tukubaliane, kaskazini mkijitenga kiongozi wenu atoke kusin...... Napendekeza capt. Joni komba a.k.a .mpoki awe rais wenu, nyie mnaonaje
 
Umeibiwa nini wakati hata kodi hulipi.

PAYE peke yake nakatwa zaidi ya 47,000/= bado biashara acha upumbavu wa kishoga shoga Omar.
 
Jamhuri ya wanywa mbege!

Hivi mkuu ukabila unakujaje hapa? Mi nakushangaa unawaita wachagga including mke wa Mkapa, Joseph Warioba, na mke wa salmini wanywa mbege. Haya ni matusi ya jumla jumla be careful usitake tukuonyeshe unywa mbege wetu kwani hiyo ni homework rahisi kufanya ili kulinda heshima yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…