Manyanyaso yanayofanywa na serikali ya ccm dhidi ya watu wa kanda ya kaskazini hususan Arusha yanafanya watu wafikirie kupandisha bendera yao.
Vile vile kitendo cha serikali kukaa kimya kuhusu kutatua migogoro ya Arusha, kutopinga kauli ya umoja wa vijana uvccm kwamba rais wa tanzania hatatoka kanda ya kaskazini kamwe tena mbele ya mtoto wa rais ni dharau kubwa sana kwa watu wa kanda ya kaskazini.
Matumizi ya mabavu rather that diplomatic table, hasa kwa kutumia jeshi la polisi kwa kuwapiga watu wetu inaonyesha dharau kubwa sana kwa kanda ya kaskazini hasa kwenye maeneo ambayo yameonyesha mwamko mkubwa kisiasa.
Kanda ya kaskazini na magharibi, yaani Mkoa wa Mwanza, Shinyanga, Arusha, Kilimanjaro, Mara, Manyara zikiungana zinaweza kujiendesha bila kutegemea msaada kutoka sehemu nyingine.
Mikoa hii ina rasilimali za kutosha, hivyo wakimchagua kiongozi (siyo aliyechaguliwa na nec) bora wanaweza kuwasaidia wananchi kwenye suala la maendeleo.
Imetosha kunyanyaswa na serikali ya ccm.
nawakilisha.
Uraisi apewe Shibuda halafu hiyo nchi iitwe ZE KOMEDY
Wachaga wakitaka kitu basi watatumia njia yeyote wakipate. Hii ndio hulka yao. Wale wa kwetu huku usukumani ni maboya tu.Akili zingine ukwaju kweli sijui umepata wapi mamlaka ya kuwasemea watanzania...
Kama mnataka kujitenga ni nyie Wachagga sisi watanzania bado ni wamoja..
Mnatataka kuleta fujo nchini na mvunje amani
Ikulu inahamia bilicanasJamhuri ya wanywa mbege!
Upeo na maono yako hayafikirii vizazi vijavyo bali u comedy. Hii ni hatari sana, endapo JK hatatoa kauli juu ya mustakabali wa nchi yetu ilipofikia sasa ni dhahiri kila mtu atafanya anachokijua. Rais ni kama refa, endapo refa yupo kimya na rafu ni nyingi nina mashaka na mpambano huo kama utaisha salama.Uraisi apewe Shibuda halafu hiyo nchi iitwe ZE KOMEDY
Wachaga wakitaka kitu basi watatumia njia yeyote wakipate. Hii ndio hulka yao. Wale wa kwetu huku usukumani ni maboya tu.
Mimi siungi mkono hoja ya kujitenga bli ninachotaka ni serikali kushughulikia malalamiko ya wananchi bila kujali itakadi zao.Akili zingine ukwaju kweli sijui umepata wapi mamlaka ya kuwasemea watanzania...
Kama mnataka kujitenga ni nyie Wachagga sisi watanzania bado ni wamoja..
Mnatataka kuleta fujo nchini na mvunje amani
Manyanyaso yanayofanywa na serikali ya ccm dhidi ya watu wa kanda ya kaskazini hususan Arusha yanafanya watu wafikirie kupandisha bendera yao.
Vile vile kitendo cha serikali kukaa kimya kuhusu kutatua migogoro ya Arusha, kutopinga kauli ya umoja wa vijana uvccm kwamba rais wa tanzania hatatoka kanda ya kaskazini kamwe tena mbele ya mtoto wa rais ni dharau kubwa sana kwa watu wa kanda ya kaskazini.
Matumizi ya mabavu rather that diplomatic table, hasa kwa kutumia jeshi la polisi kwa kuwapiga watu wetu inaonyesha dharau kubwa sana kwa kanda ya kaskazini hasa kwenye maeneo ambayo yameonyesha mwamko mkubwa kisiasa.
Kanda ya kaskazini na magharibi, yaani Mkoa wa Mwanza, Shinyanga, Arusha, Kilimanjaro, Mara, Manyara zikiungana zinaweza kujiendesha bila kutegemea msaada kutoka sehemu nyingine.
Mikoa hii ina rasilimali za kutosha, hivyo wakimchagua kiongozi (siyo aliyechaguliwa na nec) bora wanaweza kuwasaidia wananchi kwenye suala la maendeleo.
Imetosha kunyanyaswa na serikali ya ccm.
nawakilisha.
Utalambwa wewe!
Unamali zako arusha ungekua unaganga kunya hapa?
Wakina mallya tumbo hawasemi wewe unajifanya unamali?
Utalambwa!
Wanataka kujitenga na mali zetu tulizowekeza Arusha na Kilimanjaro tumuachie nani? Mimi binafsi miradi yangu huko pamoja na hotel