Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,189
- 128,283
CCM bila polisi hapo Arusha panakuwa pagumu sana kwao.
Hamna kesi kama mlivyomuua Akwelina.Ukiona polisi wana bendera nyekundu kimbia wakikuua hamna kesi ni hali ya hatari hilo eneo usiulize kulikoni kimbilia mbali usiende karibu nao.Bendera inayotakiwa kupepea ya Taifa au ya vyama vya siasa au mameya.Ukiona bendera nyekundu inapepea iwe ya polisi au msafara wa malori ya wide vehicle paki pembeni lipite ukiwa Na gari
Mkuu mbona povuNdoto za mwehu
Libya Na Tanzania ni nchi tofauti yenye majina tofauti ,tabia tofauti Na watu tofauti kamuulize kahaba mange Kimambi maandamano aliyopanga kwa kudhani yaliyotokea Libya ,Arab Springs nk yaliyotokea kule yatatokea Tanzania .Hayakutokea Sasa hivi karudia fani yake ya umalaya ya kujiuza mitandaoni kutafuta wanaume Instagram kwa kupost picha zake za umalaya wa mitandaoni.Bado wewe muda wowote utaingia sokoni mitandaoni kujiuza uwe dume au jike
Una uhakikaSijatukana Mange Kimambi ni kahaba anayejiuza marekani
Ukiona hivo jua hali ni tete kwa kijani, kinaangalia jinsi ya kuinusuru ili kunusuru ajira za watu,maana hapo rc,rpc, wakurugenzi,nk watatumbuliwa.Heshima kwenu wakuu.
Nipo hapa Arusha maeneo ya sokoni one mtaa wa madukani, sasa kuna msafara wa magari ya polisi umepita hapa barabarani speed wakiwa na magari ya zima moto, magari ya washawasha huku wakiwa wamekaa tayari tayari kama wa naenda vitani vile.
Magari ni mengi ajabu makubwa kwa madogo na kila gari likiwa na bendera nyekundu.
Kama kuna anayejua kuna nini atiririke hapa ili kama kuna tatizo tujiandae namna ya kukabiliana nalo tafadhali?
Ndo kusema shetani anakuwa kaziniUkitaka kujua hilo nguo jekundu nenda siku majaji wanaenda Toa hukumu za kesi za mauaji wanavaa majoho mekundu yanatisha wakitembea kuingia mahakamani hawacheki Wala kutabasamu rangi nyekundu iwe kwenye msafara wa askari wawe Jeshi la polisi,JWTZ,msafara wa gari au Majaji wakiingia mahakamani ogopa.Usije jifanya unapiga mikelele au vurugu mahakamani hasa mahakama kuu Na rufaa au popote walipo majaji Na Yale mavazi yao mekundu ogopa.
Unazidi kuweka wazi uwezo wako wa kufikiri na kuchambua hoja.... HATA KENYA MIRUNGI INARUHUSIWA, UNATAKA TANZANIA TUITUMIE KWA VILE KENYA NI RUKSA? Kuna nchi duniani ndoa za jinsia moja ruksa, unataka iwe hivyo Tanzania?Marekani Umalaya ni kazi inayotambuliwa hadi Na serikali ruksa kuitangaza nk Mange Kimambi kazi yake malaya anajiuza Marekani Na njia mojawapo anayotumia kapata wateja ni kupost picha zake Instagram kuwinda wanaume kuanzia za nusu utupu nk Nimetaja kazi yake.Umalaya Tanzania ni tusi Marekani ni kazi.Ambayo ndio Mange Kimambi anafanya.Hongera Uhamiaji na Waziri wa Mambo ya ndani Mange Kimambi akija Tanzania alete mkataba wake wa kazi anayofanya Marekani