Mwanaukweli
JF-Expert Member
- May 18, 2007
- 4,789
- 1,732
Nchi ya amani Tanzania.Ukiona polisi wana bendera nyekundu kimbia wakikuua hamna kesi ni hali ya hatari hilo eneo usiulize kulikoni kimbilia mbali usiende karibu nao.Bendera inayotakiwa kupepea ya Taifa au ya vyama vya siasa au mameya.Ukiona bendera nyekundu inapepea iwe ya polisi au msafara wa malori ya wide vehicle paki pembeni lipite ukiwa Na gari