Arusha: Kijana aliyemuua mama yake akiri kuhusika, polisi yafunga kazi

Mtoto ana miaka 19 au 29?
Mbona mkubwa hivyo?
Menyuu mzee baba

Huyu ni wale watoto wa Mama (coach potatoes), kazi yake kula na kunenepa tu, hata dukani haendi

Amekua akaanza kummaindi maza na madanga yake

Miaka 40 mama vs miaka 24 mtoto
 
Mh mjumbe, hii ni moja ya madhara ya kumlea mtoto bila baba kisa tu mama anapesa.
Huyu kijana kalelewa kwa madeko na kwakifupi hana adabu kabisa.
Yawezekana kijana alikua anapata wivu sana kwenye mahusiano ya mamaake na ndio ikapelekea ugomvi wa mara kwa mara.
Mkuu huyo mama kamlea yeye baba alikuepo na familia ingine
 
Mh mjumbe, hii ni moja ya madhara ya kumlea mtoto bila baba kisa tu mama anapesa.
Huyu kijana kalelewa kwa madeko na kwakifupi hana adabu kabisa.
Yawezekana kijana alikua anapata wivu sana kwenye mahusiano ya mamaake na ndio ikapelekea ugomvi wa mara kwa mara.

Kwahiyo unamlaumu huyo mama kumlea bila baba au kijana hana kosa kisa alilelewa bila baba na unaambiwa baba yao alifariki zamani
Mnamuongezea marehemu kosa watu bana
 
Kwasisi wana intelijensia tunasema, yawezekana kijana alikua anakerwa na tabia ya mamaake kuliwa na mijamaa aliyokua ikitanua kwa fedha na magari ya maza. Hali hiyo pengine ndio ilipelekea ugomvi wa mara kwa mara kati ya kijana na mama yake, na hata kusababisha kijana kufikia hatu mbaya kama hivyo.
Hii ni moja ya madhara makubwa kwenye malezi ya mtoto bila baba

Maisha ya mapenzi ya mama yake hayamuhusu mama bado mbichi unategemea nin acheni kuhalalisha kijana alichofanya
Alitaka atombe mama yake au
 
Maisha ya mapenzi ya mama yake hayamuhusu mama bado mbichi unategemea nin acheni kuhalalisha kijana alichofanya
Alitaka atombe mama yake au
Hakuna anaehallisha alicho kifanya kijana, na hakuna anae taka kuhalalisha kijana kumchunga mama yake...
Lakini ukweli ni kwamba haya ni matokeo ya mama alivyo mlea kijana wake hata kija akafikia kuwa mwenye wivu kwa mama na hata kuwa mwenye utovu wa nidhamu.
 
Back
Top Bottom