Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 37,194
- 85,291
Kwasisi wana intelijensia tunasema, yawezekana kijana alikua anakerwa na tabia ya mamaake kuliwa na mijamaa aliyokua ikitanua kwa fedha na magari ya maza. Hali hiyo pengine ndio ilipelekea ugomvi wa mara kwa mara kati ya kijana na mama yake, na hata kusababisha kijana kufikia hatu mbaya kama hivyo.Unahis kuna chembechembe za wivu wa kimapenzi....!!?
Hii ni moja ya madhara makubwa kwenye malezi ya mtoto bila baba