Arusha kama ulaya

arusha imerudia ile hali yake ya 1967
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1367779709746.jpg
    85.8 KB · Views: 58

watu8 kuna Lushoto (Tanga) au huku hujafika?
 
Last edited by a moderator:
Huko kutakuwa na baridi chafu....Anaongekea baridi safiii ya Arusha Geneva of Africa ati..

Hahahaha tedo umetisha.... Baridi la makete litakuwa na mavumbi sana lol..... La arusha safiiii
 
Last edited by a moderator:
Hii ya dc year kweli n baridi plus na mvua 24/7 dah,baridi ya Arusha ni tofauti na baridi ya Iringa maana iringa atauvae nguo kumi utaickia tu inapuliza kama upepo halafu unajhc kama umevaa nguo mbichi hii ya Arusha ukitupia kitu cha sweta basi n baridi ya nnje tu c ya kugandisha kama ya Iringa
 
Hahahahah..... Nimecheka eti kuoga mtoni lol

Hahahah ndio daughter maana kule juu mlimani tulikuwa tunaoga kwenye huo mto unaokatiza hapo Sanawari unaopita nyuma ya Mount Meru Hospitali...maana unaanzia kule juu Ilboru
 
Hahahah ndio daughter maana kule juu mlimani tulikuwa tunaoga kwenye huo mto unaokatiza hapo Sanawari unaopita nyuma ya Mount Meru Hospitali...maana unaanzia kule juu Ilboru

Hahahahahaha....... Dady mbavu zangu jamani
 
watu8 kuna Lushoto (Tanga) au huku hujafika?

jaman nyie lushoto funga kazi!ule ni ukungu,upepo na unyevu!acha kabisa,me kote nimekaa arsh,iringa,moshi marangu,lakin la lushoto ni baba lao
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…