Diwani Rehema lazima atakuwa amelipa kwani show aliyowapa CCM wiki iliyopita lazima itakuwa na malipo mazuri ntashangaa sana kama aliweza kutoa show kama ile ya kujidhalilisha namna ile for free.Crashwise weka habari yako sawa sawa ina maana wengine wamelipa ?.
Diwani Rehema lazima atakuwa amelipa kwani show aliyowapa CCM wiki iliyopita lazima itakuwa na malipo mazuri ntashangaa sana kama aliweza kutoa show kama ile ya kujidhalilisha namna ile for free.
Sijui kama yule Rasta ameshalipa kwakua nimemkuta maeneo fulani ya hapa A-Town anakula Fegi nyingi na anaonekana kama anamsongo wa mawazo sana!
Mkuu Ndallo,Sijui kama yule Rasta ameshalipa kwakua nimemkuta maeneo fulani ya hapa A-Town anakula Fegi nyingi na anaonekana kama anamsongo wa mawazo sana!
Sijui kama yule Rasta ameshalipa kwakua nimemkuta maeneo fulani ya hapa A-Town anakula Fegi nyingi na anaonekana kama anamsongo wa mawazo sana!
Crashwise weka habari yako sawa sawa ina maana wengine wamelipa ?.