Tetesi: Arusha International Iftar kurushwa live CNN, BBC & Al Jazeera

Yaani huu upuuzi wa Iftar hata sielewi kwa kweli gharama kubwa sana!
 
Kuna mstafu alikuwa hakauki kwa Mswati
Nimechekaa nani huyo?lakini tuongee ukweli hata ningekuwa mimi nina hera yangu ya kutalii ningekuwa naendaga kwa Mswati kipindi cha ngoma zile nikajichagurie mabikira maana kuna uhaba wa wanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…