Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,266
- 7,118
πππππHivi wanadhani hata kama kuna wavamizi ndo walikua wanasubiri habari zisambae kwenye mitandao ndo waanze kuingia nchini? π€£π€£π€£π€£ kweli ccm mmetuweza kutujazia β¦ kila sehemu
Wazee wa Wait & See safari hii kazi wanayo mpaka watubu...Hivi wanadhani hata kama kuna wavamizi ndo walikua wanasubiri habari zisambae kwenye mitandao ndo waanze kuingia nchini? π€£π€£π€£π€£ kweli ccm mmetuweza kutujazia β¦ kila sehemu
mpaka njia za magendo zisizopitika wapo..kazi kweli kweli wazee wa magendo imekula kwaoWanajeshi wanafanya doria kila mahala
Mserani kuna beria wananchi wanakaguliwa vitambulisho na wanajeshi waliobeba Ak 47
Wanajenshi ndio wanaongoza magari kama askari wa barabarani wapo likizo.
Goma au Kisangani na Bukavu
Hii serikali inatia hasira hadi unajiuliza hivi waliajiri matahira serikali nzima ππππππ
Yaan hatari tupuuHii serikali inatia hasira hadi unajiuliza hivi waliajiri matahira serikali nzima π
Kwelihawana kazi ngoja wafanye hzo kazi...