Arusha I salute you!

Mwambie bana........Swai hana noma.......na nimesikitika kuwa alifika Big L.......mahali ambapo ndio sebuleni....... NGULI hujanitendea haki ujue.......

sikujua Swai kapunguza wivu ...... next time nawashtua nakuja after 2-3 weeks. Nimependa maeneo ya ngurudoto nitanunua kule nijenge huko kuko kijaniiiii

Preta na ndo hapo nashangaa akaingia mpaka club d kimya kimya bila hata taarifa aise

Nitarudi soon wakuu ila tatizo la mji wenu hauna gym nilienda ya hotel vifaa vibovu niliuliza gym wakaniambia Arusha hakuna gym.

Hivi ni kwa nini lakini amefanya hivyo........?

Sorry Madame next time itakuwa ni shidaaaa

Mi napenda saaaaaana wenye nyama za Allah

Hahaha sio Rehma za Allah? wembamba labda itokee tuu.
 
Nitarudi soon wakuu ila tatizo la mji wenu hauna gym nilienda ya hotel vifaa vibovu niliuliza gym wakaniambia Arusha .

Ipo gym bana.......tunapasha pasha New Arusha pale......sio mbaya........
 
Asante sana nikija after two weeks na wa PM kabisa kama vipi naweza kuja na Fidel80 na Asprin

Mi King'asti kashaniharibia kwa michuchu ya Arachuga sina hata raha. Inakuwaje atuuwe watoto wa Downtown karibia na BOT na Hazina eti hatuna masimbi kama wanaapollo? Asa nifike chuga nirudi Dar na manii kiunoni si ntaumwa?

Ngoja nibadili oil kwenye stout yangu kwanza nione kama itaweza pandisha mlima
 
Last edited by a moderator:
Karibu sana Chuga jomba langu NGULI.
Hapa A town makila kitu ni fresh kuanzia hali ya hewa, misosi, huduma zote ni pooouwa.
Dar ni sehemu hatarishi sana kwa maisha ya mwanadamu nimekaa pale ten solid years kwakweli ni hatari sana.
 
Last edited by a moderator:
kingine NGULI wadada wa Arusha hawapendi vya.bure ukimtoa out anachangia bill heheheh karibuni Arushaaa!!
 
kingine NGULI wadada wa Arusha hawapendi vya.bure ukimtoa out anachangia bill heheheh karibuni Arushaaa!!

Hii ndio point kuu kuliko zote......na hatuhongwi mandinga........kupewa funguo na copy ya card.......what you see......is how it is.......
 
kingine NGULI wadada wa Arusha hawapendi vya.bure ukimtoa out anachangia bill heheheh karibuni Arushaaa!!

Hilo sikuthibitisha. Ila hii siri umewafunulia baadhi ya watu maeneo ya Kinondoni dar wanapendwa kutunzwa watavamia hilo jiji.
 
Karibu sana Chuga jomba langu NGULI.
Hapa A town makila kitu ni fresh kuanzia hali ya hewa, misosi, huduma zote ni pooouwa.
Dar ni sehemu hatarishi sana kwa maisha ya mwanadamu nimekaa pale ten solid years kwakweli ni hatari sana.

Kuishi Dar-Es-Salaam inahitaji uwe na akili. Usingepaweza.
 
Kuishi Dar-Es-Salaam inahitaji uwe na akili. Usingepaweza.

Si kweli, Dar watu wana akili za mizinga! Mizinga tu. Na hawapendi kujituma kivilee. Nitapambana nisije lea watoto wangu hapa bongo. Ukipita Sinza saa 12 malaya wamejipanga kwenye makazi ya watu je tunafundisha nini watoto wetu?
 
ukiona kijana ana gari zuri arusha ujue ni jambazi... ungepita na mitaa ya mrina na shiverz ujionee vituko.. arusha ni mji wa shari shari na ujambazi, bangi ,viroba na umalaya ndio penyewe arusha
 
nenda arusha mitaa ya kaloleni mrina na shiverz uone machangudoa mchana saa sita wanasubiri wateja
 
ukiona kijana ana gari zuri arusha ujue ni jambazi... ungepita na mitaa ya mrina na shiverz ujionee vituko.. arusha ni mji wa shari shari na ujambazi, bangi ,viroba na umalaya ndio penyewe arusha

Dah......kweli unaonge ukweli mtupu....
 
karibu sana nguli ukifika toa taarifa viwanja vimeongezeka,kuna millestone, arusha park kuna mbuzi choma kwa mromboo,kuna mbuzi foil kiwanja kinaitwa olosiva park nk.
halafu kuna hii kitu inaitwa neti ya mbu sijawahi kuittumia,huku ni burudani kwenda mbele.
 
Si kweli, Dar watu wana akili za mizinga! Mizinga tu. Na hawapendi kujituma kivilee. Nitapambana nisije lea watoto wangu hapa bongo. Ukipita Sinza saa 12 malaya wamejipanga kwenye makazi ya watu je tunafundisha nini watoto wetu?

Nyumbani kwangu ni Moshi pale Kiboriloni kwahiyo nayaelewa vizuri maisha ya pale Moshi na Arusha.

Vijana wa Moshi hawana kazi wanayofanya lakini siku haiwezi kuisha bila ya kulewa. Wanachojua kuulizana ni leo mbege ipo kwa mama nani, iwe ni Jumatatu au Jumamosi. Wakishakaa kwenye mbege wao ni kuanza kuringishiana ndugu zao (sisi) wenye hela tuliopo hapa Dar.

Na ndiyo maana kijana aliyekulia pale Moshi kuhimili purukushani za hapa Dar hawezi. Hapa Dar hauwezi kulewa kizembe, atakayekukopesha pombe ni nani?!

Kuhusu machangudoa ni unyamaze mkuu NGULI kwasababu kulingana na maelezo yako wewe ni sio wa kule kwahiyo ungeuliza ueleweshwe.

Machangudoa wapo hadi Rome, Italy ndiyo itakuwa Sinza na Moshi/Arusha?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…