ARUSHA hawana MBUNGE, wamebaki na CHADEMA...

Mkuu JF kuna Great Thinkers...

Umeipata wapi hii kuwa "Arusha ndio mji mkuu wa maendeleo ukiachia Dar"

Tufahamishe mkuu.

we niambie mji wenye mvuto, maendeleo na amani kama arusha..maana hata Dar hakuna amani kama A town ilivyo :biggrin1:
 
Ni kweli kabisa kwasababu kodi yote inayokusanywa na serikali ya ccm inaliwa au kuwekwa kwenye akaunti binafsi huko uswisi

Vipi Mwanza Madiwani wa Chadema pamoja na Meya wa Chadema wanatafuna fedha za halmashauri ya Jiji la Mwanza...wamepitisha kodi mpya kupaki gari kutwa Sh900 piga hesabu mfano magari 1000 kwa mwezi kiasi gani na kwa mwaka kiasi gani?

Meya katafuna pesa mpaka wamemtimua kwa ufisadi Mwanza wanajuta kuijua Chadema.
 
Sijui Mimi naishi Arusha ipi, namjua Lema vizuri na kimsingi sikuwa anaona anachokifanya Kmart Mbunge tofauti na kukukutana na wale vijana wake wa unga limited na kutafuta fujo

mimi nipo arusha nitafute nikuonyesha jinsi ambavyo tumeishi bila kutegemea ccm toka makongoro nyerere mpaka tulipotegemea kwa mara ya kwanza utawala wa chadema arusha .lema akiwa mbunge wetu.
 
Nguvu ya kuchakachua kura ndiyo imeiweka ccm maarakani 2010
 
Vipi Mwanza Madiwani wa Chadema pamoja na Meya wa Chadema wanatafuna fedha za halmashauri ya Jiji la Mwanza...wamepitisha kodi mpya kupaki gari kutwa Sh900 piga hesabu mfano magari 1000 kwa mwezi kiasi gani na kwa mwaka kiasi gani?

Meya katafuna pesa mpaka wamemtimua kwa ufisadi Mwanza wanajuta kuijua Chadema.

ni heri ungekuwa masikini wa fedha kuliko wa fikra .bahati mbaya uukijana lakini unamatitazo zaidi kwani huna fedha wala fikra .ur pupet
 
Uchafu wa mji wa arusha hausiani na mbunge bali mkuu wa mkoa ambae katokea ccm. Zaidi ya kua na propaganda sioni cha maana anachofanya... Arusha ndio mji mkuu na wa maendeleo ukiachia dar sasa sijui kwanini serikali haiangalii vizuri.. Ningekua mi ni rais ungekuta mkuu wa mkoa wa arusha nishampiga chini siku nyingi

ur right mtoto wa mujini
 
Vipi Mwanza Madiwani wa Chadema pamoja na Meya wa Chadema wanatafuna fedha za halmashauri ya Jiji la Mwanza...wamepitisha kodi mpya kupaki gari kutwa Sh900 piga hesabu mfano magari 1000 kwa mwezi kiasi gani na kwa mwaka kiasi gani?

Meya katafuna pesa mpaka wamemtimua kwa ufisadi Mwanza wanajuta kuijua Chadema.
Mkuu bora hao walio thubutu kutimua kuliko ccm ambayo bado inakumbati wezi wa pesa ya Rada
 
Back
Top Bottom