Arusha hakuna kitu mbele ya Mwanza, Imethibitika


Halafu Arusha haikuitwa "Geneva of Afrika" kwa sababu ya mazingira na utalii. Fuatilia hotuba ya Rais Clinton, kama lugha inapanda lakini: Clinton at Burundi peace talks. Ila jombaa unachekesha, sasa uwaondoe Wachagga Mwanza waje Arusha ni kwao? Yaani umekaa kabisa ukawaza huo ujinga wa kugombania kabila la watu!!🤣 Mnawatukuza sana Wachagga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…