Mulangila Mukuru
JF-Expert Member
- Feb 24, 2010
- 1,945
- 729
ACHENI uchochezi, mwawezaliingiza taifa ktk janga kubwa, Waislam hawana shida na wakristo. acheni uchunguzi ukamilike ndo muongee. kwani yaweza bainika kuwa wakristo haohao ndo wahusika. uchunguzi wa awali umeonyesha muhusika ni mkiristo AMBROSE. NA ukifuatilia maelezo yote toka mwanzo unaona niyakupika ambayo hayaeleweki,. mara mshambuliaji alivaa kanzu akapita kwa nyuma akarusha kwa mkono wa kulia akakimbia huku anaita mwizi mwizi., mara alikuwa ktk pikipki akarusha na kukimbia ,. mara walikuwa ktk gari, mara watu walimuona mrushaji mara mtoto ndiye alimuona. AU VIPI MSHAMBULIAJI AVAE KANZU NDIO AENDE KTK TUKIO LA KUDHURU ? BAdo inatia shaka kama mshambuliaji ambrosi alirusha akakimbia kwa kusema mwizimwizi kisha akarudi tena watu baadae wamepata fahamu ndo wakamkamata ?:fish2::A S confused::A S confused: akili changanya na zako
Ni upotoshaji mkubwa kuanzia kudhani kuwa shambulio la Arusha lililenga ukristo au ukatoliki. Tukianzia hapo tutapotoshwa na kuchochewa. Wakatoliki,kama wanadhehebu,hatuna adui. Makosa ya jinai hayahitaji dini wala dhehebu. Uchunguzi uwe huru bila kufungamanisha dini yoyote. Wasakwe wahusika si dini wala udini...
Nadhani nikikuita mbu mbu mbu, pengine mbu ni nafuu bora nikuite nzi nzi nzi. Waliolipua bomu ni waislamu na walilenga kumuua balozi wa baba mtakatifu, askofu mkuu Padilla. wameshindwa, lakini damu ya wakatoliki imemwagika na hata sasa majeruhi wanaugulia maumivu makali hospitali. Tutaacha kufungamanisha dini siku bunge likilipuliwa......sio kanisa
umeshikilia mkia wa mbuzi unauliza sehemu ya kutolea haja ipo wapi. uchunguzi uendelee na ueleze bayana sio udini bali ni ujambazi tu walitaka kuiba sadaka napo tutaelewa.
Rai kama hiyo yalo ndio imefikisha nchi hapa tulipo kwa kuogopa kukemea cd za uchochezi na wachochezi wenyewe, mauaji ya mapadri yamefanyika, na bado unadiriki kusema dini hailengwi. ...
Chunguzi ngapi zimefanywa na majibu yake ni yepi. Wacha tuusubiri nao..
Ni kweli lile shambulia halikuwalenga Wakristo lililenga wafanyabiashara maana ndiyo wanamgogoro mkubwa na hawa watu walio muua mchungaji kule ZanzibarNi upotoshaji mkubwa kuanzia kudhani kuwa shambulio la Arusha lililenga ukristo au ukatoliki. Tukianzia hapo tutapotoshwa na kuchochewa. Wakatoliki,kama wanadhehebu,hatuna adui. Makosa ya jinai hayahitaji dini wala dhehebu. Uchunguzi uwe huru bila kufungamanisha dini yoyote. Wasakwe wahusika si dini wala udini...
ACHENI uchochezi, mwawezaliingiza taifa ktk janga kubwa, Waislam hawana shida na wakristo. acheni uchunguzi ukamilike ndo muongee. kwani yaweza bainika kuwa wakristo haohao ndo wahusika. uchunguzi wa awali umeonyesha muhusika ni mkiristo AMBROSE. NA ukifuatilia maelezo yote toka mwanzo unaona niyakupika ambayo hayaeleweki,. mara mshambuliaji alivaa kanzu akapita kwa nyuma akarusha kwa mkono wa kulia akakimbia huku anaita mwizi mwizi., mara alikuwa ktk pikipki akarusha na kukimbia ,. mara walikuwa ktk gari, mara watu walimuona mrushaji mara mtoto ndiye alimuona. AU VIPI MSHAMBULIAJI AVAE KANZU NDIO AENDE KTK TUKIO LA KUDHURU ? BAdo inatia shaka kama mshambuliaji ambrosi alirusha akakimbia kwa kusema mwizimwizi kisha akarudi tena watu baadae wamepata fahamu ndo wakamkamata ?:fish2::A S confused::A S confused: akili changanya na zako
Ni upotoshaji mkubwa kuanzia kudhani kuwa shambulio la Arusha lililenga ukristo au ukatoliki. Tukianzia hapo tutapotoshwa na kuchochewa. Wakatoliki,kama wanadhehebu,hatuna adui. Makosa ya jinai hayahitaji dini wala dhehebu. Uchunguzi uwe huru bila kufungamanisha dini yoyote. Wasakwe wahusika si dini wala udini...
Af wewe usinitie hasira nakwambia, tena acha kutuzingua.Tunauchungu wenzio.Ficha upumbavu wakoNi upotoshaji mkubwa kuanzia kudhani kuwa shambulio la Arusha lililenga ukristo au ukatoliki. Tukianzia hapo tutapotoshwa na kuchochewa. Wakatoliki,kama wanadhehebu,hatuna adui. Makosa ya jinai hayahitaji dini wala dhehebu. Uchunguzi uwe huru bila kufungamanisha dini yoyote. Wasakwe wahusika si dini wala udini...
Aman ya tanzania kwa sasa iko mikoni mwa wakiristo wakijibu mapigo 2 ya kuwachomea misikiti ndo amani bye bye
Ni upotoshaji mkubwa kuanzia kudhani kuwa shambulio la Arusha lililenga ukristo au ukatoliki. Tukianzia hapo tutapotoshwa na kuchochewa. Wakatoliki,kama wanadhehebu,hatuna adui. Makosa ya jinai hayahitaji dini wala dhehebu. Uchunguzi uwe huru bila kufungamanisha dini yoyote. Wasakwe wahusika si dini wala udini...
Mficha uchi hazai na mficha maradhi kifo umuumbua tafakari izo methari halafu urudi umu utuambie umeelewa nini...kama umeanza VILOBA mapema acha nenda kapumzike.
Wamekamatwa 6 anatajwa jina mmoja why?