Sanitizer na barakoa na chanjo hazisaidii. Kinachosaidia ni kuwa umbali wa mita 3 kati ya mtu na mtu, kuepuka mikusanyiko hasa ya kisiasa ambayo inajulikana kwa kurusha mapovu wanapozungumza eg piiiiiiiiiiiìiiiiiipoooooooooooooooziiiiiiiiiiii pawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhVikao vya Chadema ni Full Sanitizer na Barakoa , picha inajieleza
Madaktari wa Tanzania bhana !Sanitizer na barakoa na chanjo hazisaidii. Kinachosaidia ni kuwa umbali wa mita 3 kati ya mtu na mtu, kuepuka mikusanyiko hasa ya kisiasa ambayo inajulikana kwa kurusha mapovu wanapozungumza eg piiiiiiiiiiiìiiiiiipoooooooooooooooziiiiiiiiiiii pawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahh
Hapo lazima kunakuwa na mvua ya virus vya corona.
haijawahi kuboa yaani.CHADEMA utaipenda tu.
Tuliza mshono mke wanguHayo ndio majibu ya kwanini hawajavaa barakoa?
Ujumbe wako umepokelewa ila utafanyiwa kazi 2026Ila mwenyekiti wetu nae apumzike toka 90s mpaka leo yupo tu. Amefanya mengi mazuri tunamshukuru, ila sasa apumzike amuachie hata Heche kile kiti.
Sent from my Android using JamiiForums mobile app
Siku zote mpumbavu na mjinga hukimbilia matusi kama haya badala ya kujibu hoja.Tuliza mshono mke wangu
Jiandae nakuja kukuchanja ya masaburiWaliomvisha wamechanjwa corona?
Upuuzi mtupu
Punguza povu mke wanguSiku zote mpumbavu na mjinga hukimbilia matusi kama haya badala ya kujibu hoja.
Usifikiri siwezi kukujibu! Ila nawaza ntakujibu jibu gani litakalo kuondelea stress ulizo nazo
Kwa Wachagga oops CHADEMA ni haki na sawa kuiita Sukuma Gang, lakini ukiambiwa Chagga Gang iliyomuuwa Chacha Wangwe unahamaki ukabila.Mkuu ni vema ukajikita kwenye content ya kilichoandikwa badala ya ukabila
Mtu yeyote anaweza kusema ni Kyela au Tarime. Kwa vile mmejificha kwa kujipachika majina ya ajabu hatuwezi kujuwa ukweli!Mkuu mimi mtu wa Kyela , kijiji cha Kajunjumele , karibu tuvune mpunga
Acha uongo. Mbowe hajawekeza pop[ote nje. Dubai huwa anaenda kwa ruzuku ya serkali itolewayo na serkali. Mbowe is broke long time. Kazi ulevi na zinaa za kupindukia!Sema mnachoshindwa kuelewa ni kuona Mbowe ana njaa na vimilioni vya michango, mtu amewekeza mpaka nje huko aje apambane kula michango ya million mbili
Personal attacks as usualAcha uongo. Mbowe hajawekeza pop[ote nje. Dubai huwa anaenda kwa ruzuku ya serkali itolewayo na serkali. Mbowe is broke long time. Kazi ulevi na zinaa za kupindukia!