Aliyekuwa Diwani wa CHADEMA Kata ya Leguruki aitwaye Anderson E. Sikawa kabla hajahamia CCM kwa mbwembwe nyingi na matangazo ya kumuunga Magufuli mkono huko Arumeru, amepatwa na janga la kuunguliwa nyumba yake anayoishi na vitu vyake vyote vimeungulia ndani.
Hadi sasa chanzo cha moto huo hakijajulikani kabisa, japo wengi wanasema ni mshahara wa dhambi zake za usaliti.
hapa kuna harufu ya chama cha mapinduiz kuhusika maana wale wakikupa kitu lazima utalipa tu kwa namna yoyote. wamempa mamilioni hivyo wanaona hayawezi kumfaidisha inabidi ayatumie kujenga nyumba mpya
Shauri yake, na zile hela alizonunuliwa na slow slow kama alinunuliwa kwa mkopo imekula kwake sasa hv hela yote inapelekwa kukomboa bombadear Canada ilikowekwa bond