Nimeishi Moro kwa zaidi ya miaka 8, nzikanunua kiwanja maeneo yoa kihinda kwa chambo njia ya mazimbu.
Nikaja Arusha kwa miaka zaidi ya 7 nikanunua kiwanja na kujenga Moshono, Ukweli ni kwamba Morogoro kawa Arusha haiingii kbs. Moro bado sana mji chini sana kwa karibia kila kitu compared na Arusha
Kwa upande wa totoz, wazee kuweni serious basi hivi unalinganishaje Arusha na Moro?
Arusha nadhani ndo mji wenye watoto wakali tatizo tu hawajielewi kuwa wakali the take it simple hadi wafike mikoa mingune kusiko na manzi wakali wakiambiwa wakali ndo wanashituka. Angali manzi wengi wakali wanaotikisha hii nchi wanatokea kaskazini esp Arusha.
Arusha inakuwa hivyo kwa sababu ya mchanganyiko wa makabila yenye sifa za kuwa na wasichana wazuri ie.chagga, Pare, rangi, wairaq (Wambulu), wanyaturu etc....
Naongea kitu ambacho nakielewa na nina uhakika nacho!!
I submit,
Sent using
Jamii Forums mobile app