Jossiah kisanga
Member
- Jan 15, 2014
- 78
- 3
waje tu wanadhani hii ni tanga.
Watu wa Arusha hawabebeki hata kwa maroli na pilau,maccm hayapo arusha,kama unabisha muulize Mary Kitanda atakuambia,siyo chatanda ni kitanda!
Mtahutubiana wenyewe kama kawaida yenu. Hamna Ccm Arusha
Hivi kwanini Kinana anaikwepa sana Arusha ambako ni kwao badala yake anapapenda sana Iramba ?
dada mbona unatumia nguvu nyingi kubishana pasi na sababu. Wenye majibu ni wana Arusha na sio wewe uliyepo nyuma ya keyboard.