Arusha CCM kuijibu CHADEMA kesho viwanja mbali mbali

Mkya

JF-Expert Member
Dec 15, 2013
667
94
baada ya tundu Lisu na silinde na mdeee kupita Arusha week hii nzima wakiwa na chopa kesho ccm wataunguruma viwanja zaidi ya sita
1 majengo
2 mbauda
3.kilombero
4.kwa chuesi
5. soko kuu
6.kijenge ya juu

lengo kupongeza mchakato mzima wa bunge maaalumu la katiba iliyopendekezwa na kuwaomba wananchi waiunge mkono

squer gari la matangazo leo
 
hapana wamepita mdeee
Lisu
silinde
watajibiwA NA GREEN GARD TUU

Mdada pole sana mmeo kakuchezesha mechi ngapi leo? maana naona umechanganyikiwa mbaya utafikiri mgonjwa wa malaria sugu iliyopanda kichwani

BACK TANGANYIKA
 
baada ya tundu Lisu na silinde na mdeee kupita Arusha week hii nzima wakiwa na chopa kesho ccm wataunguruma viwanja zaidi ya sita
1 majengo
2 mbauda
3.kilombero
4.kwa chuesi
5. soko kuu
6.kijenge ya juu

lengo kupongeza mchakato mzima wa bunge maaalumu la katiba iliyopendekezwa na kuwaomba wananchi waiunge mkono

squer gari la matangazo leo
ccm hawana mtu mwenye mvuto
 
Vipi yale malori ya kusomba watu toka monduli na manyara kuwaleta arusha kuhudhuria mkutano yameshaandaliwa tayari? Pia msisahau na masinia ya wali.
 
Arusha tulishaifuta ccm ,kama wapo ni wale wanaonufaika na mfumo(wachumia tumbo).
 
baada ya tundu Lisu na silinde na mdeee kupita Arusha week hii nzima wakiwa na chopa kesho ccm wataunguruma viwanja zaidi ya sita
1 majengo
2 mbauda
3.kilombero
4.kwa chuesi
5. soko kuu
6.kijenge ya juu

lengo kupongeza mchakato mzima wa bunge maaalumu la katiba iliyopendekezwa na kuwaomba wananchi waiunge mkono

squer gari la matangazo leo
Samahani, hivi wewe uwa ni jinsia gani? Tuanzie hapo
 
baada ya tundu Lisu na silinde na mdeee kupita Arusha week hii nzima wakiwa na chopa kesho ccm wataunguruma viwanja zaidi ya sita
1 majengo
2 mbauda
3.kilombero
4.kwa chuesi
5. soko kuu
6.kijenge ya juu

lengo kupongeza mchakato mzima wa bunge maaalumu la katiba iliyopendekezwa na kuwaomba wananchi waiunge mkono

squer gari la matangazo leo

Wasikilizaji watatoka DODOMA?
 
Hivi bado kuna CCM Arusha!!!!!!Hata kwa masinia ya wali!!!hakuna mtu ataenda zaidi ya watoto!!!!Hii ni Arusha chaliiiiiiii!!!!!!!Vungaaaa
 
Watu wa Arusha hawabebeki hata kwa maroli na pilau,maccm hayapo arusha,kama unabisha muulize Mary Kitanda atakuambia,siyo chatanda ni kitanda!
 
Back
Top Bottom