Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 29,020
- 40,793
Pazuri sanaa....!
Pazuri sanaa....!
Ile pilau mbuzi ya pale ni hatari sana.
Sikubaliani na wewe kwenye hili kwani haiwezekani labda kama upo Vat na hauja submit return au ulikua umenunua kwa mtu asiyesajiliwa na VAT au walikua na Visa na wewe Kama utakua natatizo kuhusu mambo ya Kodi nipigie 0718 472 214.Mashene hizo sio leseni wala TN maana wameamua kutumaliza kwenye mashine.zao zinaanzia laki saba kwenda juu ila makato yao sasa faida yote wanachukua wao unabaki na.kidogo mfano mimi yalisha wai kunikuta niliuza mali za milion moja na laki.nne nikapata faida ya.laki.mbili na kumi wao walinikata 18% julize nilibaki na sh. gapi na sio.kwamba utauza kila.siku hiyo ni shidah
Sent using Jamii Forums mobile app
Itafungwa mingi sana kwa kweli
Mkuu biashara acha tu 18% ni VAT waliolipa wateja wako siyo yako hiyo ni Serikali. Naona siku za nyuma ulikuwa nayo unachukua ukifikiri ni yako. Lazima margin yako ya biashara usi include VAT hiyo siyo yako!Mashene hizo sio leseni wala TN maana wameamua kutumaliza kwenye mashine.zao zinaanzia laki saba kwenda juu ila makato yao sasa faida yote wanachukua wao unabaki na.kidogo mfano mimi yalisha wai kunikuta niliuza mali za milion moja na laki.nne nikapata faida ya.laki.mbili na kumi wao walinikata 18% julize nilibaki na sh. gapi na sio.kwamba utauza kila.siku hiyo ni shidah
Sent using Jamii Forums mobile app
Mapishi ya Mwambao na cafe la Azizi ni tofauti sana mwambao wamewazidi mnoKila shetani na mbuyu wake,tuambie kipi cha ziada ambacho Cafe La Aziz hawana?
Kwakweli, uzuri wa pale Libwata nje nje! Ukila huamiii kwingine.Cafe la Aziz kwa misosi yao ni hatari.
TANGAPale kuna SUPA MKUYAT
Pia hawajazi sana spices zinazoweza kukukera...kiasi kwamba unaweza kula kisha ukitoka tu mlangoni unajihisi kutapika.
Chai inatiwa mpaka viungo vya pilau na tui la nazi...umeona wapi weye,
VIPI GREEN HAT? AU PALE NI KWA WASHUA TU MKUU?Habari ya sasa kwa Arusha ni MWAMBAO
Wamewapoteza kabisa Cafe la Aziz.
..we naweVIPI GREEN HAT? AU PALE NI KWA WASHUA TU MKUU?
Hao tra wana njaa kali wanatoza makodi hovyohovyo mtaji wa 3m unamwambia mtu aweke machine ya efd...watafunga biashara ila makusanyo yatashuka mpka wakose mshaharaHabari za mchana?
Yapata majira ya saa 15:40 mchana wa leo,mgahawa wa Cafe la Aziz,Arusha uliopo karibu na stendi ndogo ya Hiace umefungwa na TRA.
Nilikuwa ndani ya mgahawa nikipata chakula ghafla watu wa TRA wakaingia na kuongea na wahusika na waliposhindwa kupata kile walicho kitaka,wakaamua kufunga milango kwa kufuli yao.
Nikajiuliza inakuwaje mgahawa ambao upo bize kwa wateka kwanini washindwe kulipa KODI?
Au walizoea kufanya kazi kiujanja ujanja?
Poleni sana wateja wenzangu mliozoea kupata chakula mahali hapo.
Wito wangu wangu wafanya biashara kote nchini tulipe kodi,zama zimebadilika hizi!!