ARUSHA: Cafe la Aziz yafungwa na TRA

ARUSHA: Cafe la Aziz yafungwa na TRA

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,508
Reaction score
13,974
Habari za mchana?

Yapata majira ya saa 15:40 mchana wa leo,mgahawa wa Cafe la Aziz,Arusha uliopo karibu na stendi ndogo ya Hiace umefungwa na TRA.

Nilikuwa ndani ya mgahawa nikipata chakula ghafla watu wa TRA wakaingia na kuongea na wahusika na waliposhindwa kupata kile walicho kitaka,wakaamua kufunga milango kwa kufuli yao.

Nikajiuliza inakuwaje mgahawa ambao upo bize kwa wateka kwanini washindwe kulipa KODI?
Au walizoea kufanya kazi kiujanja ujanja?

Poleni sana wateja wenzangu mliozoea kupata chakula mahali hapo.

Wito wangu wangu wafanya biashara kote nchini tulipe kodi,zama zimebadilika hizi!!
 
Habari ya sasa kwa Arusha ni MWAMBAO

Wamewapoteza kabisa Cafe la Aziz.
 
Mashene hizo sio leseni wala TN maana wameamua kutumaliza kwenye mashine.zao zinaanzia laki saba kwenda juu ila makato yao sasa faida yote wanachukua wao unabaki na.kidogo mfano mimi yalisha wai kunikuta niliuza mali za milion moja na laki.nne nikapata faida ya.laki.mbili na kumi wao walinikata 18% julize nilibaki na sh. gapi na sio.kwamba utauza kila.siku hiyo ni shidah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pale kuna SUPA MKUYAT

Pia hawajazi sana spices zinazoweza kukukera...kiasi kwamba unaweza kula kisha ukitoka tu mlangoni unajihisi kutapika.

Chai inatiwa mpaka viungo vya pilau na tui la nazi...umeona wapi weye,
Du! Hii kali! Tui la nazi mpaka kwenye chai!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom