Arusha black list.

kasuku mtu

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2013
Posts
321
Reaction score
94
Arusha black list ndio wanashughulikiwa sasa.....jk alikuja akafanya mazoezi asubu tena kwa miguu....

Unajua sababu ya jk kuja kufanya jog kwa miguu arusha mnaijua?
Tena akiwa ameongozana na walinzi wake wachache akipunga mikono kwa wananchi bila wasi wasi wowote pamoja kwamba mlitangaza uhuru wa kaskazini na mwenyekiti wenu bw.Lema

muulizeni lema atawaambia yeye nani mzamini wake aliefanya apite awe mbunge wa arusha mjini na ilikuaje yeye akashinda mala mbili jimbo hilo mala ya kwanza kwa uchaguzi mkuu na mala ya pili mahakamani?

Kwanini kikwete hajawai kutembea kwa miguu dar mwanza na mbeya aje atembee hapo atown tena kwa kujiamini.

Kwanini wale waliokua wanajua jk anawatega walikimbilia kenya wengine dubai na wachche walio enda moshi kuvuna kahawa wakati mheshimiwa yupo atown?

Macomandoo wa atown si ndio wazamini wa M4c?
 

Weka Picha..hivi ukisema jk unamzungumzia nani?..
 
Jk ni mtoto kama alivyosema nyerere alikuwa na maana hana akili na busara ya kuongoza nchi.....haya yanayotokea tusishangae maaana rais wetu ni dhaifu.
 
Anataka tu kuwahakikishia kina mama aliyeshindwa ubunge kuwa Arusha ina amani!! Kwani ulishaona arusha kuna fujo kama polisi hawapo? Ukiona fujo tu jua manjagu wapo. Kama wako ofisini CDM wanafanya kazi zao kwa amani kabisa.
 
Hivi wewe kasuku mtu unamaanisha nini naona kama unataka kutapika na huku hautaki hebu funguka kwani labda una la kutaka kusema Ndugu yetu!

Funguka kwani yote yanawezekana!
Wao
wana
pesa
Sisi
tuna
MUNGU
aliye
hai
na
hata
sasa!
 
Last edited by a moderator:
Rudi darasani la kwanza kajifunze matumizi ya ''l'' na ''r''
 
ndoto za mchana ni jambo hatari sana,wahi nyumbani ukalale,
 
Naona huyu ngashi Anataka ku-relate vifo vya Nyiti..Adv Mawalla..Bob Sambeke kwamba wameuliwa na TISS...
 
Naona huyu ngashi Anataka ku-relate vifo vya Nyiti..Adv Mawalla..Bob Sambeke kwamba wameuliwa na TISS...

wewe kama wewe huwezi jua kwani uko mbali sana hata kama upo ndani ya dar lakini sijamtaja mawala wala nyaga sijui eti bob sambeke na wenzie ila hili mlijue kuna watu walishwai kutamba hawamtambui Jk na wao ni watu huru mtaisoma na 2015 mtaisoma mtakumbuka maneno yangu ujanja mwingi mwishoe ni tundu bovu.......
 
Naona huyu ngashi Anataka ku-relate vifo vya Nyiti..Adv Mawalla..Bob Sambeke kwamba wameuliwa na TISS...

kwanini unasema hivyo?hatupo jukwa la matangazo mchanga nyiko mnapo fanya promo ya A city huku tunaangalia mstakabali wa taifa tuu!

Uarusha ndio unawaponza lakini mjue mme yakologa kuelekea 2015 Hakuna A city gang wamesha anza kukimbia na bado watu watawafata dubai na kwingine kokote coz mnahatalisha maisha ya watanganyika hamko sahoho ndani ya kivuli cha siasa.
 
Naona huyu ngashi Anataka ku-relate vifo vya Nyiti..Adv Mawalla..Bob Sambeke kwamba wameuliwa na TISS...

Hapo ndio nimeelewa,kwa hiyo jk anajipongeza? Angemaliza na majangili waliomzunguka ningemsifu zaidi.
 

Huijui fasihi,waachie magwiji waitoe nasihi,hueleweki na hutamwelewa anayejaribu kukuelewa,kaanze upya.
 
Hivi mheshimiwa anaweza Jogging kweli au tunataniwa? Maana last time I checked alisimama tu jukwani na kuzimia na kusababisha ambulance kumfata kila aendapo kama mkia. Sasa sembuse Jogging?!!!! Mhhh.... Don't mind me, Just thinking aloud. Samahani naomba niulize, Je ambulance ilikuwa ikimfuata kwa nyuma au ilitangulia?!!!



Sent from my BlackBerry 9930 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…