Na inawezekana ndicho anachotaka ila ubunge atausikia tu wakati hata ukuu wa mkoa atakuwa hana!Arusha sasa hivi tunataka Mrisho Gambo awe mbunge wetu,
Njozi hizi. Pole sanaArusha sasa hivi tunataka Mrisho Gambo awe mbunge wetu,
Akifungwa kwa matatizo ya kutunga ya kujitakia nasikia hadi rahaunafaidi nini binadamu mwenzio akifungwa?
Mtu akifungwa au aliyewahi kufungwa sheria za Tanzania hazimruhusu kugombea hata ujumbe wa nyumba kumi hapo anakuwa kaaga vyeo vya kisiasa vyote.Lema hata akae gerezani miaka 50 bado ataendelea kuwa mbunge wa A-Town
Kwa hiyo mmemuweka jela ili asigombee tena UbungeMtu akifungwa au aliyewahi kufungwa sheria za Tanzania hazimruhusu kugombea hata ujumbe wa nyumba kumi hapo anakuwa kaaga vyeo vya kisiasa vyote.
Usichanganye na mambo ya siasa za Afrika ya Kusini ambapo Mandela alipotoka jela aliruhusiwa kugombea. Lema mwambieni kama anatafuta umandela kupitia jela imekula kwake. Sheria za Tanzania tofauti na za Afrika ya Kusini .Kama ana mshauri koko kampotosha mwanasiasa wa Tanzania kwenda jela ni kujiua kisiasa si kujijenga kisiasa. Tatizo CHADEMA hawana washauri wazuri wa siasa, wana wahuni wa kisiasa.