Arusha: Askofu mkuu wa Kanisa la International Evangelism Elihud Isangya Ashikiliwa Polisi kwa tuhuma za mauaji

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
ASKOFU Mkuu wa Kanisa la International Evangelism lililopo Sakila ,wilayani Arumeru ,mkoani wa Arusha ,Elihudi Isangya (69) anashikiliwa na jeshi la Polisi mkoani hapa Kwa tuhuma za Mauaji ya kaka yake.

Wengine wanaoshikiliwa ni mdogo wake na Askofu aitwaye,Ndewario Isangya (59) pamoja na Afisa mwandamizi wa kanisa hilo,Obadia Nanyaro(60)wote wakazi wa Sakila wilayani humo.

Watuhumiqa hao Kwa pamoja walikamatwa juzi majira ya Saa 1.30 Usiku katika kijiji cha sakila wakihusishwa na tukio la mauaji ya marehemu Nixon Isangya(71) ambaye aliuawa nyumbani Kwake Moivaro kwa kupigwa na kitu chenye ncha Kali kichwaji januari 8 mwaka 2017

Kaimu kamanda wa jeshi la Polisi Mkoani hapa Yusufu Ilembo amethibitisha tukio hilo na kueleza kuwa mtu mmoja ambaye jina lake limehifadhiwa alikamatwa na baada ya kuhojiwa aliwataja watuhumiwa hao wanaodaiwa kuratibu mpango huo.

Ilembo alisema kuwa Polisi wanaendelea na uchungu wa tukio hilo na pindi utakapokamilika wahusika watafikishwa mahakamani

Akizungumzia tukio hilo mtoto wa Marehemu Nixon, aitwaye Jeny Nixon Isangya ameeleza kuwa baba yake aliuawa nyumbani kwake wakati huo alikuwa akiishi na Kijana mmoja aliyemtaja Kwa jina la Simon Kaaya ,.

Hata hivyo baada ya tukio hilo Kijana huyo alitoweka nyumbani hapo hadi alipokamatwa juzi siku nyumbani kwake baada ya wananchi kuizingira nyumba yake na kumfikisha kituo cha Polisi

"Huyu Kijana alienda kumwomba Marehemu baba yangu aishi naye akidai anamwonea huruma kumwona akiishi peke yake " Amesema

Ameongeza kuwa Kijana huyo aliweza kuishi na Marehemu kuanzia januari mosi mwaka Jana kabla ya kuuawa januari 8 na kukutwa mwili wake umelazwa kitandani na kufunikwa shuka huku akiwa na jereha kichwani

Hata hivyo amedai kuwa katika uhai wake marehemu baba yake alikuwa na mgogoro wa muda mrefu na Askofu Isangya kiasi cha kutosemeshana

"Ugomvi wa baba yangu na baba Askofu Isangya ni wa muda mrefu walikuwa hawaongei hadi Marehemu alipokutwa Ameuawa kikatili chumbani kwake" Amesema

Katika hatua nyingine jana majira ya saa sita usiku Askofu alifanikiwa kuachiwa huru Kwa dhamana huku watuhumiwa wenzake wakibaki mahabusu

Hata hivyo Askofu huyo amekamatwa tena mapema Leo na kurejeshwa mahabusu katika kituo kikuu cha Polisi jijini hapa wakati akisubiri taratibu za kiupelelezi

Pichani ya kwanza Askofu Isangya
Picha ya pili marehemu Nixon kabla ya kifo chake

"Ugomvi wa baba yangu na baba Askofu Isangya ni wa muda mrefu walikuwa hawaongei hadi Marehemu alipokutwa Ameuawa kikatili chumbani kwake"

Halafu anakwenda Kanisani kuungamisha watu na kuwaambia "wawasamehe wale waliowaudhi au wabaya wenu" huku ana chuki na ndugu yake?

Unafki mbaya sana na ogopa sana mtu anayesema ameokoka.
 
NI HUKO AFRIKA YA KUSIN
MCHUNGAJI WA KANISA LA KIPENTEKOSTE AMESEMA KUWA NI RAHISI KUFANYA NGONO NA WASICHANA WANAOKWENDA KANISANI KULIKO AMBAO HAWAENDI KANISANI.
Mchungaji wa Kanisa la Kipentekoste huko Afrika Kusini amesema kuwa ni rahisi sana kwa mhubiri kufanya ngono na wasichana wanaokwenda kanisani kuliko ambao hawaendi kanisani.
Mchungaji Benard Pumalaka amesema hayo Jumatano moja huko Afrika kusini baada ya kuokoka.
Amesema kuwa wengi wanaojiita "Manabii" ni maarufu kwa ngono na wasichana na wake za watu.
Bernard alisema "kabla sijawa mchungaji wa Pentekoste, nilikuwa nimelala na watu wawili tu-mke wangu, na mwanamke mwingine mmoja tu.
Lakini nilipopata uchungaji nimelala na wanawake zaidi ya 200 ktk miaka kumi! Na nimepata utajiri mkubwa kwa kuwadanganya waumini wangu.
Nimejipatia fedha nyingi,magari na nyumba kwa kuwahadaa waumini wangu.Hakika sikuwa na Yesu ndani mwangu."
Mchungaji huyu aliyeokoka aliendelea kusema " Nawaeleza kuwa ni rahisi sana kwa nabii kuhadaa na kulala na wasichana wanaokwenda kanisani kuliko wale ambao hawaendi.
Ni rahisi kuwaibia waumini kuliko wasio waumini.
Ndo sababu utakuta wengi wa waumini ni maskini, lakini Nabii au Mchungaji au Askofu wao ni tajiri wa kupindukia."
Mchungaji Pumalaka aliendelea kusema " wanawake wengi huja kanisani kwa sababu ya shida zao na wala sio kuabudu.
Wanakuja kuomba utajiri au kuponywa magonjwa au kutafuta wachumba au kuomba kizazi na kadhalika.
Kwa bahati mbaya sisi Manabii tunachukua udhaifu na shida zao kuwatapeli pesa zao na kufanya nao ngono.
Lakini mimi leo nimeamua kutangaza hadharani kuwa nimeokoka na nitamtumikia Mungu wa kweli"
Mwishowe, Mchungaji Pumalaka alisema "Nawaambieni kuwa yeyote anayehubiri utajiri, fedha, kazi nzuri, afya tele nk. ni mwongo.
Nabii wa kweli anahubiri wokovu tu. Ni baada ya wokovu vitu hivi vingine vitakuja.
Yesu, Simon Petro, Paulo Daniel, Isaka na maelfu ya watu wa Mungu walihubiri wokovu tu, na wala siyo utajiri au miujiza."
Baada ya kusema haya,mchungaji Pumalaka aliwaeleza waumini kuwa 95% ya wanaojiita Manabii ni Matapeli tu.
Wanatumia nguvu za Shetani kuwaibia na kufanya ngono na waumini wao. Aidha 98% ya manabii hawana lolote bali ni bandia(fake) tu.
Baada ya kuungama, mchungaji Benard Pumalaka aliwatangazia waumini wake kuwa atauza mali zake zote na kuwagawia maskini na Kanisa. Alimalizia kwa kusema "ni bora kuwa maskini hapa duniani lakini tajiri huko mbinguni"..
Sent as Received!
*Super Mario!*
 
ASKOFU Mkuu wa Kanisa la International Evangelism lililopo Sakila ,wilayani Arumeru ,mkoani wa Arusha ,Elihudi Isangya (69) anashikiliwa na jeshi la Polisi mkoani hapa Kwa tuhuma za Mauaji ya kaka yake.

Wengine wanaoshikiliwa ni mdogo wake na Askofu aitwaye,Ndewario Isangya (59) pamoja na Afisa mwandamizi wa kanisa hilo,Obadia Nanyaro(60)wote wakazi wa Sakila wilayani humo.

Watuhumiqa hao Kwa pamoja walikamatwa juzi majira ya Saa 1.30 Usiku katika kijiji cha sakila wakihusishwa na tukio la mauaji ya marehemu Nixon Isangya(71) ambaye aliuawa nyumbani Kwake Moivaro kwa kupigwa na kitu chenye ncha Kali kichwaji januari 8 mwaka 2017

Kaimu kamanda wa jeshi la Polisi Mkoani hapa Yusufu Ilembo amethibitisha tukio hilo na kueleza kuwa mtu mmoja ambaye jina lake limehifadhiwa alikamatwa na baada ya kuhojiwa aliwataja watuhumiwa hao wanaodaiwa kuratibu mpango huo.

Ilembo alisema kuwa Polisi wanaendelea na uchungu wa tukio hilo na pindi utakapokamilika wahusika watafikishwa mahakamani

Akizungumzia tukio hilo mtoto wa Marehemu Nixon, aitwaye Jeny Nixon Isangya ameeleza kuwa baba yake aliuawa nyumbani kwake wakati huo alikuwa akiishi na Kijana mmoja aliyemtaja Kwa jina la Simon Kaaya ,.

Hata hivyo baada ya tukio hilo Kijana huyo alitoweka nyumbani hapo hadi alipokamatwa juzi siku nyumbani kwake baada ya wananchi kuizingira nyumba yake na kumfikisha kituo cha Polisi

"Huyu Kijana alienda kumwomba Marehemu baba yangu aishi naye akidai anamwonea huruma kumwona akiishi peke yake " Amesema

Ameongeza kuwa Kijana huyo aliweza kuishi na Marehemu kuanzia januari mosi mwaka Jana kabla ya kuuawa januari 8 na kukutwa mwili wake umelazwa kitandani na kufunikwa shuka huku akiwa na jereha kichwani

Hata hivyo amedai kuwa katika uhai wake marehemu baba yake alikuwa na mgogoro wa muda mrefu na Askofu Isangya kiasi cha kutosemeshana

"Ugomvi wa baba yangu na baba Askofu Isangya ni wa muda mrefu walikuwa hawaongei hadi Marehemu alipokutwa Ameuawa kikatili chumbani kwake" Amesema

Katika hatua nyingine jana majira ya saa sita usiku Askofu alifanikiwa kuachiwa huru Kwa dhamana huku watuhumiwa wenzake wakibaki mahabusu

Hata hivyo Askofu huyo amekamatwa tena mapema Leo na kurejeshwa mahabusu katika kituo kikuu cha Polisi jijini hapa wakati akisubiri taratibu za kiupelelezi

Pichani ya kwanza Askofu Isangya
Picha ya pili marehemu Nixon kabla ya kifo chake

Kuikosoa Serikali hii kunahitaji Uwe na moyo wa chuma
 
NI HUKO AFRIKA YA KUSIN
MCHUNGAJI WA KANISA LA KIPENTEKOSTE AMESEMA KUWA NI RAHISI KUFANYA NGONO NA WASICHANA WANAOKWENDA KANISANI KULIKO AMBAO HAWAENDI KANISANI.
Mchungaji wa Kanisa la Kipentekoste huko Afrika Kusini amesema kuwa ni rahisi sana kwa mhubiri kufanya ngono na wasichana wanaokwenda kanisani kuliko ambao hawaendi kanisani.
Mchungaji Benard Pumalaka amesema hayo Jumatano moja huko Afrika kusini baada ya kuokoka.
Amesema kuwa wengi wanaojiita "Manabii" ni maarufu kwa ngono na wasichana na wake za watu.
Bernard alisema "kabla sijawa mchungaji wa Pentekoste, nilikuwa nimelala na watu wawili tu-mke wangu, na mwanamke mwingine mmoja tu.
Lakini nilipopata uchungaji nimelala na wanawake zaidi ya 200 ktk miaka kumi! Na nimepata utajiri mkubwa kwa kuwadanganya waumini wangu.
Nimejipatia fedha nyingi,magari na nyumba kwa kuwahadaa waumini wangu.Hakika sikuwa na Yesu ndani mwangu."
Mchungaji huyu aliyeokoka aliendelea kusema " Nawaeleza kuwa ni rahisi sana kwa nabii kuhadaa na kulala na wasichana wanaokwenda kanisani kuliko wale ambao hawaendi.
Ni rahisi kuwaibia waumini kuliko wasio waumini.
Ndo sababu utakuta wengi wa waumini ni maskini, lakini Nabii au Mchungaji au Askofu wao ni tajiri wa kupindukia."
Mchungaji Pumalaka aliendelea kusema " wanawake wengi huja kanisani kwa sababu ya shida zao na wala sio kuabudu.
Wanakuja kuomba utajiri au kuponywa magonjwa au kutafuta wachumba au kuomba kizazi na kadhalika.
Kwa bahati mbaya sisi Manabii tunachukua udhaifu na shida zao kuwatapeli pesa zao na kufanya nao ngono.
Lakini mimi leo nimeamua kutangaza hadharani kuwa nimeokoka na nitamtumikia Mungu wa kweli"
Mwishowe, Mchungaji Pumalaka alisema "Nawaambieni kuwa yeyote anayehubiri utajiri, fedha, kazi nzuri, afya tele nk. ni mwongo.
Nabii wa kweli anahubiri wokovu tu. Ni baada ya wokovu vitu hivi vingine vitakuja.
Yesu, Simon Petro, Paulo Daniel, Isaka na maelfu ya watu wa Mungu walihubiri wokovu tu, na wala siyo utajiri au miujiza."
Baada ya kusema haya,mchungaji Pumalaka aliwaeleza waumini kuwa 95% ya wanaojiita Manabii ni Matapeli tu.
Wanatumia nguvu za Shetani kuwaibia na kufanya ngono na waumini wao. Aidha 98% ya manabii hawana lolote bali ni bandia(fake) tu.
Baada ya kuungama, mchungaji Benard Pumalaka aliwatangazia waumini wake kuwa atauza mali zake zote na kuwagawia maskini na Kanisa. Alimalizia kwa kusema "ni bora kuwa maskini hapa duniani lakini tajiri huko mbinguni"..
Sent as Received!
*Super Mario!*
Hizi dini au dili
 
aiseee..
.arusha na nyie mmeanza!!?? haya mambo tumezoea kuyaskia huko mbeya...Dar...na Mwanza
 
Hawa ma nabii. Ma mitume na maaskofu wakuu wa makanisa feki wote ni feki. Ukiona mkeo anasali huko. Mkataze au la atazaa na nabii. Wengi wao hupendelea mtandao rahisi wa tigo. Wewe utatumia Vodacom kumbe wenzio wanatumia mitandao mingine wakati vocha unaweka wewe. Jihadharini na matapeli
 
Inatakiwa uchunguzi wa kina sana maana isiwe maadui wengine wakachukua nafasi ya wanandugu kugombana harafu wao wakaua ushahidi wa kimazingira utakuja kwa ambae alikosana muda mrefu kumbe kuna mgomvi mpya asiejulikana...Chunguzeni mjilidhishe
 
tuwachie vyombo usika wafanye kazi yao
 
Inatakiwa uchunguzi wa kina sana maana isiwe maadui wengine wakachukua nafasi ya wanandugu kugombana harafu wao wakaua ushahidi wa kimazingira utakuja kwa ambae alikosana muda mrefu kumbe kuna mgomvi mpya asiejulikana...Chunguzeni mjilidhishe
Lile neno "iweni na amani na watu wote" ni muhimu sana kufikiria.
 
Haya mambo ya imani haya ni Magumu sana; ni kumwomba sana Roho wa Mungu atuongoze tu;

Tamaa imekua kubwa sana miongoni mwetu;

Who knows maslahi ndiyo yamepelekea yote haya.
 
Si tuhuma? au imeshathibitika? tuviache vyombo vya usalama vifanye uchunguzi kwanza kabla ya kuanza kuwanyoshea watu vidole!
 
Lakini nilipopata uchungaji nimelala na wanawake zaidi ya 200 ktk miaka kumi! Na nimepata utajiri mkubwa kwa kuwadanganya waumini wangu.
Nimejipatia fedha nyingi,magari na nyumba kwa kuwahadaa waumini wangu.Hakika sikuwa na Yesu ndani mwangu."
AMA KWELI SIKIO LA KUFA HALISIKII LA K UFAA

KUMBE NI WAPIGAJI!!??

WANAPIGA MABIBI NA MAHELA!! DAAAH ... HALAFU WATU HAWAELEWI WANAACHIA WAKE NA MABINTI WAHUDHURIE KWA MTU KAMA HUYO??

WANAWAKE 200!!!!!! HII NI RECORD YA DUNIA SIJAWAHI KUSIKIA DAAH! NA AMELEWA MIJIHELA MPAKA SASA ATATOA SIRI ZOTE KUWA ANAWAPIGA FIX WATU WAKE NA KUZOA UTAJIRI. LAKINI MWENYE AKILI HADANGANYIKI NA HAWA WATU.
 
Back
Top Bottom