Arusha: Askari wa JKT washikiliwa kwa tuhuma za kuwaua wafugaji wanne

Pamoja na hayo haijarish kuwa yy he/she didn't know different lkn mkondo wa sheria uchukuliwe ni binadamu hao si wanyama juzi imetokea rukwa Leo arusha kwa hili cwez nyamaza
 
Polen wafiwa.mwaka juz watumishi wa misitu aliuawa na majeruhi kadhaa.baada yaya mifugo kuingizwa na wafugaji kukataamifugo kupelekwa ofisi za misitu kwa ajili ya faini.
Sheria lazima ichykue mkondo wake.
Siamini wafugaji wauwawe pasipo kuta ka kusababisha kifo kwa hao askar au kunyanganya siraha.
Wito : maeneo yatengwe na wafugaji wasiiingie kwa wakulima au maeneo ya hifadhi na inapotokea ukame wapunguze kwa kuuza mifugo na kuhifadh pesa ili iwafae maishani
 
Back
Top Bottom