HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 73,316 Reaction score 103,577 Jun 1, 2023 #21 Vyombo vya habari na waandishi wa habari huwa wanataka wauze hadithi. Jicho likitobolewa, leo ungemkuta aliyetobolewa bado yupo ccbrt
Vyombo vya habari na waandishi wa habari huwa wanataka wauze hadithi. Jicho likitobolewa, leo ungemkuta aliyetobolewa bado yupo ccbrt
Lovie Lady JF-Expert Member Joined Feb 5, 2023 Posts 2,826 Reaction score 4,676 Jun 1, 2023 #22 πππ
mtwa mkulu JF-Expert Member Joined Sep 11, 2013 Posts 8,585 Reaction score 11,269 Jun 1, 2023 #23 Mtu kama huyu adhabu yake ni kung'olewa jicho na jino akiwa na uelewa timamu harafu atupwe kijijini kwao himo kiruuuuuuu
Mtu kama huyu adhabu yake ni kung'olewa jicho na jino akiwa na uelewa timamu harafu atupwe kijijini kwao himo kiruuuuuuu
V Vito Corleone JF-Expert Member Joined Apr 4, 2023 Posts 2,417 Reaction score 5,277 Jun 1, 2023 #24 Napenda kutoa pongezi zangu Kwa Yanga a.k.a ndala Kwa kuendelea kuzalisha vichaa fresh nchini.Hongereni sana.
Napenda kutoa pongezi zangu Kwa Yanga a.k.a ndala Kwa kuendelea kuzalisha vichaa fresh nchini.Hongereni sana.
Mwalimu wa tuisheni JF-Expert Member Joined Oct 19, 2019 Posts 8,644 Reaction score 15,415 Jun 1, 2023 #25 Mausa Jovin said: Huo ufafanuzi nawezaje kuupata na mimi? Msaada Click to expand... Kuna uzi hapa jukwaani, tafuta hauna siku hata tatu
Mausa Jovin said: Huo ufafanuzi nawezaje kuupata na mimi? Msaada Click to expand... Kuna uzi hapa jukwaani, tafuta hauna siku hata tatu
Mwalimu wa tuisheni JF-Expert Member Joined Oct 19, 2019 Posts 8,644 Reaction score 15,415 Jun 1, 2023 #26 Huyo jamaa amekua framed, hiyo kesi ina ukakasi mkubwa sana
K kina kirefu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2018 Posts 18,449 Reaction score 23,025 Jun 1, 2023 #28 Bila bila said: Kuna Daktari alitilia Shaka usahihi wa tukio hili Kuwa 100% Sasa na Mimi naungana naye. Daktari alihoji Mtu aliyetobolewa jicho na kung'olewa jino bila ganzi anawezaje... Click to expand... Kwenye shitaka hawajasema katobolewa jicho, hilo limepita Lakini, kama jamaa alipiga simu kwawakwe basi ni ushahidi Tosha alimjeruhi
Bila bila said: Kuna Daktari alitilia Shaka usahihi wa tukio hili Kuwa 100% Sasa na Mimi naungana naye. Daktari alihoji Mtu aliyetobolewa jicho na kung'olewa jino bila ganzi anawezaje... Click to expand... Kwenye shitaka hawajasema katobolewa jicho, hilo limepita Lakini, kama jamaa alipiga simu kwawakwe basi ni ushahidi Tosha alimjeruhi