bendaki
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 952
- 346
Uchaguzi uliokwisha wa madawani ktk kata 27 umeleta jambo mhimu kwa CDM ktk uhai wake kuliko wakati wowote hapo awali. Jiji la Arusha kuanzia jana chama tawala ni CDM na CCM ni wapinzani, hili hawakulitarajia hivi karibuni. Huu ndio utamu wa ngoma ambao huwa ni lele. Ktk uwanja wa mapambono huwa muhimu kupata uwanja ulio kombolewa ili jeshi lako lipate point of application. CDM wana haki kufurahia. Ni ishara tosha kuwa karibuni Tanzania inakombolewa.