Arumeru: Wanafunzi wadondoka darasani Kwa kukosa chakula shuleni na nyumbani

Jembe Jembe

JF-Expert Member
Jun 9, 2016
749
1,797
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya msingi Oldonyo Sambu Wilayani Arumeru Mkoani Arusha, wanadaiwa kudondoka darasani kutokana na kushinda na njaa kwa muda mrefu.

Mtendaji wa Kijiji cha Lemanda Bw. Gaspar Lembris amesema adha hiyo inatokana na Wananchi kushindwa kuwalipia watoto wao ili wapate mlo shuleni.

Aidha, Wananchi wamesema kutokana na madadiliko ya hali ya hewa kwa msimu wa mwaka huu wa 2021 hawajapata mavuno yeyote mpaka sasa hivyo mbali na kushindwa kuwalipia watoto wao chakula shuleni pia wao binafsi wanaomba Serikali iweze kuwasaidia chakula kwakua wanakosa hadi mlo mmoja kwa siku.

Mtendaji huyo ameieleza kuwa mwanafunzi akidondoka anapewa soda na biskuti ndipo anapata nguvu, lakini wakati mwingine walimu hulazimika kwenda kuchukua chakula majumbani mwao na kuwapa pindi tatizo hilo linapotokea.

"nimeshashuhudia watoto wanne na mara nyingi ni matukio yamekuwa yakitokea ndani ya wiki, ukweli ni kwamba pia kwa walimu imekuwa ni kazi kwasababu baada ya saa nne ufundishaji kwa walimu unakuwa ni mgumu kwa sababu watoto unakuta wameishiwa na wengine kutoroka" Mtendaji, Gaspa Lembris.
 
Wajane wa mwendazake watakwambia haya yanatoke utawala huu tu.

Enzi za mme wao wala hayakujitokeza haya.
 
Tunaomba serikali ianzishe programs ya kuwalisha watoto angalau uji na chakula cha mchana maana ukame ni serious..

Kwenye mazingira kama haya ponapona ya Watoto ni shuleni..poleni watoto wazuri.
 
Wajane wa mwendazake watakwambia haya yanatoke utawala huu tu.

Enzi za mme wao wala hayakujitokeza haya.
Madam serikali ina chakula kwenye maghala waanzishe programs za kuwapa watoto msosi..

Nimewahi kusoma Arusha yaani ukame Wilaya za Karatu na loliondo ni serious Sana sasa kama hadi Arumeru Hali iko hivyo sipati picha huko Kiteto,Kondoa nk

Mama Samia wahurumie Hawa watoto wako.
 
Back
Top Bottom