Imany John
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 2,937
- 1,193
Mhmh, kumbe wapambanaji ni wengi, hope there will be light at the end of the tunnel...mapamabo bado yanaendelea.......Wameru fanyeni maamuzi sahihi.....
Ningependa kutumia haki yangu ya kikatiba kuwashauri wana arumeru wachague mgombea sahihi,hatutaki jimbo lenu liwe korea,eti baba afariki na mtoto arithi?
Tulianza na mungu,tutamaliza na mungu!
Aluta kontinyua!
Mtoto wa Sokwe/ Mzee usingizi ni mnene sana, atakufa kwa presha za uchaguzi kwani watu wa Bunda wamechoka kabisa hawa jamaa wa magambaPamoja daima..chadema.tanzania leading political party,upo sahihi.NASKIA KULE BUNDA MTOTO WA BW usingizi anapiga jaramba naye agombee 2015.
Mtoto wa Sokwe/ Mzee usingizi ni mnene sana, atakufa kwa presha za uchaguzi kwani watu wa Bunda wamechoka kabisa hawa jamaa wa magamba
Marehemu baba Sioyi sijui Naoa siyule Zitto alisema bungeni anajibu majibu ya hovyohovyo wanaleta utawala wa kifalme Arumeru sio Uk au Uarabuni hawa watajuta kuweka pandikizi lao, wanaanza kuota kama mgomba ule uliozaa mkungu ukishakatwa maotea ya pembeni nayo yanaachiwa kutawala eneo lenye rutuba mpaka yatakapo toa mkungu wandizi na kukatwa ndio mbinu za maccm za siku hizi za kuweka watoto kututawala hii haikubaliki tumeshashtuka nikuwapiga chini tu.
Huyu mgombea wa CCM atajuta kumsikiliza baba mkwe wake aliyemshauri kujaribu kuvaa viatu hivi.
Tulianza na Mungu, tutamaliza na mungu.