Arumeru Mashariki ya CHADEMA

Ndugu wana Chadema wenzangu napenda kutoa tahadhari ya hali ya juu... Tusipende kujipa moyo ya kuwa tutashainda.. Tutambue ya kuwa tunachangamoto kubwa sana ya kulikomboa hili jimbo... Lazima chama kiwe na mipango madhubuti... Wenzetu wamejipanga kwa sera chafu na kwa kumwaga hela...
 
Kiualisia ni ngumu sana kutabiri mshindi arumeri mashariki. Ingawaje kwa hali ya sasa ya nchi, inawapa advantage kubwa chadema kushinda
 
Back
Top Bottom