Mkuu hao vijana wapo wangapi? Wewe ndio wamekutuma uje uwasemee humu JF? kwa nini usipeleke malalamiko yao pale Lumumba.
Ni mkutano wa kihistoria ambao ulitarajiwa kufanyika Geita kuanzia 3-5 Februari 2012 ukiwahusisha wabunge wote vijana wa CDM nchini.Kwa sasa utafanyika kuanzia 16-18 April 2012.Hii imelenga kuwapa nafasi wabunge kushiriki kikamilifu katika kampeni za uchaguzi mdogo wa ubunge kule Arumeru Mashariki na udiwani katika kata 8 kama ilivyotangazwa na NEC.
Nawasilisha.
Kunya anye kuku akinya bata kaharisha...Mkuu hao vijana wapo wangapi? Wewe ndio wamekutuma uje uwasemee humu JF? kwa nini usipeleke malalamiko yao pale Lumumba.
ccm ni bora wabebe mabango ya kumkataa kikwete kwa kuwa wizi wake ndio unaotuongezea ugumu wa maisha, mkapa anaheshima yake, hata kama alikuwa fisadi kiasi gn khatukuwa n hali ngumu kama sasa,,,,,,ccm hilo mnalo, jk htaki kuudhuria kampeni anaogopa kuanguka jukwaani ..teh teh teh
Nilipoona sababu ya kwanza tu nikadharau sikusoma zilizofuata eti anatoka CCM L ina maana kuna CCM nyingine.Magamba on duty!
Magamba on duty!
Ni vema sisi wafuasi wa mabadiliko ya kweli hapa Tanzania tusijipe moyo kuwa tutashinda uchaguzi Arumeru Mashariki.Ninasema hivi kwa kuangalia mambo yafuatayo
Hizo ni baadhi tu ya sababu chache zinazonifanya nisijipe moyo kuwa mgombea wangu( Nassari) anaweza kupata ushindi kwenye uchaguzi huo mdogo.
- Mgombea wa CCM anatoka kwenye kundi lenye nguvu( ccm-L) kwenye eneo la uchaguzi hasa ikizingatiwa kuwa Lowassa amezaliwa kwenye jimbo hilo
- Wameru kama walivyo wamasai hasa wa Monduli ni rahisi sana kurubuniwa kwa vitu vidogo vidogo kama nyama,bia,tisheti,kanga,mahindi ya njaa nk.
- Elimu ya uraia katika maeneo mengi ya jimbo hilo ni ndogo sana hivyo ni rahisi sana kwa wanavijiji kurubuniwa.
- Hakuna mabadiliko yoyote yaliyofanywa kwenye daftari la kudumu la wapiga kura hivyo nategemea watu wachache sana kujitokeza kupiga kura wengi wao wakiwa wazee.
- Hali ngumu ya maisha itasababisha watu wengi kurubuniwa kwa rushwa ndogondogo hivyo kuichagua CCM
- Na mwisho kwa maoni yangu ni kuwa huu ndo wakati muafaka kwa mheshimiwa Lowassa kuonyesha nguvu zake kwenye siasa kwani kinyume na hapo atasahaulika kwenye siasa kitu ambacho hawezi kukubali kamwe.
Ninachoamini ni kuwa wapambanaji wakijipanga vyema tunaweza tukapata kati ya asilimia 48 hadi 49.5 lakini tusahau ushindi ila tujipange vizuri kwa ajili ya Uchaguzi mkuu 2015.
Kwanza naamini kabisa siku hiyo ya ufunguzi wa kampeni ya CCM Mkapa atakuwa ameutwisha, yaani kaunyaka vilivyo. Anafanya hivi ili kuondoa macho ya aibu mbele ya Watz kutokana na madhambi aliyofanya kwao.
Lakini hapa CDM wakicheza karata yao vizuri wanaweza kuibomoa CCM live kabisa. Nawashauri wapange mkutano wao wa ufunguzi baada ya huo wa Mkapa, hasa siku ya pili yake. Halafu wampeleke Marando na Tundu Lissu na Lema kummaliza Mkapa.
Nyie CDM badala ya kushughulika na mambo yenu kucha kutwa mnazusha mambo ya CCM hayo ni maamuzi yetu mtakestitake do tumeshaamua hivyo.
Heri wewe umetulia na kafu yako.Nyie CDM badala ya kushughulika na mambo yenu kucha kutwa mnazusha mambo ya CCM hayo ni maamuzi yetu mtakestitake do tumeshaamua hivyo.