KAMANDA HANGA
Senior Member
- Sep 22, 2011
- 158
- 58
Tetesi!
Nasikia ccm wamemtuma siyoi na chligati kukutana na lowasa kumwomba rasmi kuweka nguvu zake hadharani katika kuhakikisha jimbo linabaki chini ya miliki yao. Hii ni kutokana na nguvu ya chadema ktk jimbo hilo, ccm kujikuta hoehae kipesa na kikubwa zaidi ni nguvu aliyonayo lowasa katika jimbo hilo ukichukulia kuwa yeye kazaliwa tengeru jimboni humo na mama yake ni mmeru na hata best man wake wa ndoa ni mmeru kutoka ukoo wa Nyiti.