Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 35,283 Reaction score 61,254 Jun 24, 2015 #1 Baada ya kukerwa na shimo hilo kubwa barabarani kaamua kuweka mamba fake na rangi Attachments 1435131113053.jpg 40.9 KB · Views: 1,066
SirChief JF-Expert Member Joined Jun 23, 2014 Posts 3,304 Reaction score 3,380 Jun 24, 2015 #2 Apo ukija kichwa kichwa unaeza kimbia hadi mguu ifike kisogoni
Mbulu JF-Expert Member Joined Apr 15, 2015 Posts 5,614 Reaction score 5,521 Jun 24, 2015 #3 Ha ha haaaaaa
20PROFF JF-Expert Member Joined Nov 5, 2013 Posts 8,217 Reaction score 7,263 Jun 24, 2015 #4 SirChief said: Apo ukija kichwa kichwa unaeza kimbia hadi mguu ifike kisogoni Click to expand... Hiyo ndio inaitwa kutoka nduki.
SirChief said: Apo ukija kichwa kichwa unaeza kimbia hadi mguu ifike kisogoni Click to expand... Hiyo ndio inaitwa kutoka nduki.
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 35,283 Reaction score 61,254 Jun 24, 2015 Thread starter #5 SirChief said: Apo ukija kichwa kichwa unaeza kimbia hadi mguu ifike kisogoni Click to expand... Hahaha kweli kabisa na huyo mamba utafikiri kweli
SirChief said: Apo ukija kichwa kichwa unaeza kimbia hadi mguu ifike kisogoni Click to expand... Hahaha kweli kabisa na huyo mamba utafikiri kweli
K kalikenye JF-Expert Member Joined Dec 21, 2009 Posts 1,649 Reaction score 373 Jun 24, 2015 #6 Wapi hapo? Ni uliotulia.
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,802 Reaction score 49,110 Jun 24, 2015 #8 ha ha hahaha
charty JF-Expert Member Joined Oct 28, 2013 Posts 7,459 Reaction score 6,008 Jun 24, 2015 #9 Hata kama umelewa pombe zotee zitakwishaaaa,,,ndukyy
BigBro JF-Expert Member Joined Jan 9, 2010 Posts 3,651 Reaction score 12,030 Jun 24, 2015 #10 Sio Tanzania hii!
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 35,283 Reaction score 61,254 Jun 24, 2015 Thread starter #11 kalikenye said: Wapi hapo? Ni uliotulia. Click to expand... Ni India
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 79,037 Reaction score 168,688 Jun 24, 2015 #12 Nimemkubali
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 35,283 Reaction score 61,254 Jun 24, 2015 Thread starter #13 BigBro said: Sio Tanzania hii! Click to expand... Ni Bangalore, India
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 35,283 Reaction score 61,254 Jun 24, 2015 Thread starter #14 Bujibuji said: Nimemkubali Click to expand... Mwezi mzima serikali imezorota ndio akaamua kufanya yake lakini siku ya pili tu jamaa wakaja mbio kupatengeneza
Bujibuji said: Nimemkubali Click to expand... Mwezi mzima serikali imezorota ndio akaamua kufanya yake lakini siku ya pili tu jamaa wakaja mbio kupatengeneza