Ni Tanzania pekee tunazoea shida

Ni Tanzania pekee tunazoea shida

MaweSaba

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2024
Posts
397
Reaction score
604
• Watanzania sisi uchafu unaweza kuwepo hapo na ukauopita kila siku, na ni nyumbani kwako
• Ni Tanzania mtu anapata ajali watu wanakuja kushangaa na hawatasaidia chochote
• Ni watanzania tu, maji yanavuja hata mwezi hakuna atakae wapigia idara ya maji mpaka wakatiwe maji wao
• Ni Tanzania tu, shimo linaweza kua dogo barabarani la kuvuka kiraka wakaja kuliziba siku Kiongozi anatembelea huo mkoa (Mwanza ndio mambo yao)
• Mitaro ikawa inafurika ila wasizibue mpaka siku maafa yatokee au mwanasiasa apate pa kujizolea sifa

Nachojiuliza, huyu mganga aliewaroga alishafariki au?
 
Back
Top Bottom