Artificial Intelligence (Super Intelligence) special thread

MdengestanfromCuba

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
667
Reaction score
743
Habari za majukumu wadau, nawakaribisha kwenye uzi huu mahsusi tujadiliane na kupeana updates mbali mbali kuhusu Artificial Intelligence, nimeshawishika kufungua hii thread kutokana na mambo kadhaa

- Mimi ni Software developer, lakini katika career yetu mpaka sasa mnaona wenyewe namna industry inavyobadilika kwa kasi, kuna wanaoendana na mabadiliko na bado kuna wale old school , hii yote kutokana na kwamba sasa ule u-tembo tuliokua nao unamalizwa na AI

- Kumekua na updates mbali mbali za kuhusu AI ambazo kuna za kweli na conspiracies tuu

- Pia watu wengi ulimwenguni tunaogopa kutoka kwenye ile comfort zone tuliyopo na kuingia katika hii revolution mpya inayoletwa na AI ambapo tumaweza kushuhudia inabadilisha kabisa uchumi wa dunia na ecosystem kwenye mambo mbali mbali.

- Pia nafasi ya sisi nchi zinazoendelea ni ipi? What next kuhusu sisi?

Ya kuzungumza ni mengi wakuu, nawakaribisha
 
siku 6 uzi hauna wachangiaji! inaonekana hii kada bado haijaeleweka tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…