Na bado ! Utapotezwa sana tu kama hutaki kuwa Mbunifu wa kutengeneza ajira ya halali ya kuzalisha kisha kuuza bidhaa ama huduma kwa faida ya wanao kuzunguka!!!
Kiukwel sijawahi bet ila washkaji zangu wanaobet kila siku utaskia nimeweka 3k nkapata 45k, mara niweka 10k nkapata 119k afu baada ya dkk tano anakuomba 2k
Labda useme mambo arbitrage, ila chatgpt haiwezi jua kesho timu fulani inashinda ngapi. Betting site wangeshafunga biashara mkuu, ni easy math hii. Naweka nukta