Lusungo JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 29,489 Reaction score 42,564 May 17, 2014 #1 Wanajukwaa aliyekuwa katibu Mkuu nishati na madini ndugu Arthur Mwakapugi amefariki dunia. Mungu ailaze roho yake pema tunamshukuru kwa upendo na kujitolea kwake kwa taifa hili... R.I.P Mwakapugi
Wanajukwaa aliyekuwa katibu Mkuu nishati na madini ndugu Arthur Mwakapugi amefariki dunia. Mungu ailaze roho yake pema tunamshukuru kwa upendo na kujitolea kwake kwa taifa hili... R.I.P Mwakapugi
J jme JF-Expert Member Joined Aug 4, 2013 Posts 4,768 Reaction score 5,102 May 17, 2014 #2 chanzo mbona haraka na ulete kwa kirefu habari kama hizi
mka JF-Expert Member Joined Nov 14, 2010 Posts 318 Reaction score 82 May 17, 2014 #3 Huyo Jamaa si ametajwa kesi ya Richmond kuwa alishiriki kuandaa mkataba? Kama kweli apepe Arthur.
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,204 Reaction score 99,943 May 17, 2014 #4 Magamba yanapukutika......poleni Wafiwa
Lusungo JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 29,489 Reaction score 42,564 May 17, 2014 Thread starter #5 Elli said: Magamba yanapukutika......poleni Wafiwa Click to expand... Hongereni nyie msio na miili ya kuharibika
Elli said: Magamba yanapukutika......poleni Wafiwa Click to expand... Hongereni nyie msio na miili ya kuharibika
mcfm40 JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 4,452 Reaction score 3,152 May 17, 2014 #6 Elli said: Magamba yanapukutika......poleni Wafiwa Click to expand... Yanapukutika sana siku hizi sijui laana! Haipiti wiki bila kusikia moja limepukutika! Ila kama Arthur ulifanya kazi zako kwa uaminifu basi RIP kaka. Lakini kama ulishirikiana na magamba kutuumiza wanyonge, basi na upate haki yako unayostahili huko.
Elli said: Magamba yanapukutika......poleni Wafiwa Click to expand... Yanapukutika sana siku hizi sijui laana! Haipiti wiki bila kusikia moja limepukutika! Ila kama Arthur ulifanya kazi zako kwa uaminifu basi RIP kaka. Lakini kama ulishirikiana na magamba kutuumiza wanyonge, basi na upate haki yako unayostahili huko.
rushanju JF-Expert Member Joined Nov 3, 2011 Posts 3,327 Reaction score 5,594 May 17, 2014 #7 Je maiti yake ipo hapa bongo au yale yale ya gavana wetu wa BOT.
Lusungo JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 29,489 Reaction score 42,564 May 17, 2014 Thread starter #8 jme said: chanzo mbona haraka na ulete kwa kirefu habari kama hizi Click to expand... Mimi ni mwanafamilia Mkuu alikua mjomba wangu kabisa
jme said: chanzo mbona haraka na ulete kwa kirefu habari kama hizi Click to expand... Mimi ni mwanafamilia Mkuu alikua mjomba wangu kabisa
Lusungo JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 29,489 Reaction score 42,564 May 17, 2014 Thread starter #9 rushanju said: Je maiti yake ipo hapa bongo au yale yale ya gavana wetu wa BOT. Click to expand... Msiba upo mikocheni karibu na ifakara health centrr
rushanju said: Je maiti yake ipo hapa bongo au yale yale ya gavana wetu wa BOT. Click to expand... Msiba upo mikocheni karibu na ifakara health centrr
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,204 Reaction score 99,943 May 17, 2014 #10 lusungo said: Hongereni nyie msio na miili ya kuharibika Click to expand... wewe ni mnafiki, mzandiki na muongo mkubwa! Tena usiniharibie sabato yangu Mpwa
lusungo said: Hongereni nyie msio na miili ya kuharibika Click to expand... wewe ni mnafiki, mzandiki na muongo mkubwa! Tena usiniharibie sabato yangu Mpwa
J jme JF-Expert Member Joined Aug 4, 2013 Posts 4,768 Reaction score 5,102 May 17, 2014 #11 lusungo said: Mimi ni mwanafamilia Mkuu alikua mjomba wangu kabisa Click to expand... pole sana kama wewe ni mwana familia na ni mjomba wako tufikishie kwa familia yenu salaam kutoka kwa wana jf wote
lusungo said: Mimi ni mwanafamilia Mkuu alikua mjomba wangu kabisa Click to expand... pole sana kama wewe ni mwana familia na ni mjomba wako tufikishie kwa familia yenu salaam kutoka kwa wana jf wote
Rich Pol JF-Expert Member Joined Oct 11, 2013 Posts 7,877 Reaction score 5,694 May 17, 2014 #12 Nasubiri baada ya uchaguzi 2015 baada ya chadema kupigwa chini nione watakuja na hoja gani maana wao kila kitu ni siasa tu.
Nasubiri baada ya uchaguzi 2015 baada ya chadema kupigwa chini nione watakuja na hoja gani maana wao kila kitu ni siasa tu.
KIWAVI JF-Expert Member Joined Jan 12, 2010 Posts 1,817 Reaction score 700 May 17, 2014 #13 Elli said: wewe ni mnafiki, mzandiki na muongo mkubwa! Tena usiniharibie sabato yangu Mpwa Click to expand... Unakosea sana mkuu... Sio culture yetu kudhalilisha marehemu
Elli said: wewe ni mnafiki, mzandiki na muongo mkubwa! Tena usiniharibie sabato yangu Mpwa Click to expand... Unakosea sana mkuu... Sio culture yetu kudhalilisha marehemu
Lusungo JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 29,489 Reaction score 42,564 May 17, 2014 Thread starter #14 jme said: pole sana kama wewe ni mwana familia na ni mjomba wako tufikishie kwa familia yenu salaam kutoka kwa wana jf wote Click to expand... Ahsante Mkuu.
jme said: pole sana kama wewe ni mwana familia na ni mjomba wako tufikishie kwa familia yenu salaam kutoka kwa wana jf wote Click to expand... Ahsante Mkuu.
J jme JF-Expert Member Joined Aug 4, 2013 Posts 4,768 Reaction score 5,102 May 17, 2014 #15 lusungo said: Mimi ni mwanafamilia Mkuu alikua mjomba wangu kabisa Click to expand... kama wanafimila hebu tundondoshee nn chanzo cha kifo ili wanajukwaa wengine wasifanye upotoshaji
lusungo said: Mimi ni mwanafamilia Mkuu alikua mjomba wangu kabisa Click to expand... kama wanafimila hebu tundondoshee nn chanzo cha kifo ili wanajukwaa wengine wasifanye upotoshaji
Lusungo JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 29,489 Reaction score 42,564 May 17, 2014 Thread starter #16 Elli said: wewe ni mnafiki, mzandiki na muongo mkubwa! Tena usiniharibie sabato yangu Mpwa Click to expand... Mkuu tupo kwenye tanzia hayo yanatoka wapi?
Elli said: wewe ni mnafiki, mzandiki na muongo mkubwa! Tena usiniharibie sabato yangu Mpwa Click to expand... Mkuu tupo kwenye tanzia hayo yanatoka wapi?
VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 6,140 Reaction score 18,004 May 17, 2014 #17 afadhali kwakweli kama ni kweli
Lusungo JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 29,489 Reaction score 42,564 May 17, 2014 Thread starter #18 Rich Pol said: Nasubiri baada ya uchaguzi 2015 baada ya chadema kupigwa chini nione watakuja na hoja gani maana wao kila kitu ni siasa tu. Click to expand... Laana Mkuu wahurumie.
Rich Pol said: Nasubiri baada ya uchaguzi 2015 baada ya chadema kupigwa chini nione watakuja na hoja gani maana wao kila kitu ni siasa tu. Click to expand... Laana Mkuu wahurumie.
G Sam JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 12,282 Reaction score 38,876 May 17, 2014 #19 Gamba limepepea... Huyu si ni miongoni mwa walioneemeka na Richmond.? mimi sina usemi ila apate haki yake stahili kwa mujibu wa sheria za mbinguni.!
Gamba limepepea... Huyu si ni miongoni mwa walioneemeka na Richmond.? mimi sina usemi ila apate haki yake stahili kwa mujibu wa sheria za mbinguni.!
Lusungo JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 29,489 Reaction score 42,564 May 17, 2014 Thread starter #20 jme said: kama wanafimila hebu tundondoshee nn chanzo cha kifo ili wanajukwaa wengine wasifanye upotoshaji Click to expand... Maradhi tu ya kawaida.
jme said: kama wanafimila hebu tundondoshee nn chanzo cha kifo ili wanajukwaa wengine wasifanye upotoshaji Click to expand... Maradhi tu ya kawaida.