Hili jamaa jinga sana waliliambia linunue Striker likagoma, limeharibu sana hii timu kwa miaka mingi sana nadhani bora liondoke tu....
I think its time for you to pack your things and go....tuachie arsenal yetu wewe ushashindwa maajuzi yako yameishia hapo.....
dah hii timu kweli pasua kichwa ila nitaendelea nayo hivi hivi
daa, una moyo mgumu sana...dah hii timu kweli pasua kichwa ila nitaendelea nayo hivi hivi