Arsene Wenger

Arsene Wenger

Mr.Wenger mchumi sasa mashabiki mtapiga tantalila nyingi,mwenzenu anafikilia mwisho wa msimu kama vitabu vya mahesabu vitabalance. Vikibalance anachukua bonus yake alafu anasepa holiday sehemu fulani tulivu ambako hatasikia makelele kama who r ya??? who r ya??? au ur supportin ,ur supportin ,ur supportin f..... s... Dizaini hizi ya kelele zinampa stress zaajabu Wenger.

Mr.Wenger yuko kimaslahi zaidi miaka hii.

Lakini mwisho wa siku kama mdau nampa heshima yake ni kocha mzuri. Ni makocha wangapi kwenye game hii wanaweza kukaa miaka zaidi ya kumi katika klabu moja.

I'm not a gunner but in Arsene I trust. Arsene is the man for this job only having a stormy season. He'll bounce back
 
Mashabiki wa mpira ni vinyonga kwelikweli maana miezi 3 iliyopita walikuwa wanatoa comments tofauti kabisa.
 
Huyu mzee ananiumiza vyakutosha, nataka nianze kusahau mpira maana naweza kupata pressure bure lizee lenyewe wala halina feeling akishinda, akifungwa lipo vile vile tu
 
I think its time for you to pack your things and go....tuachie arsenal yetu wewe ushashindwa maajuzi yako yameishia hapo.....

Ni vile Tu hajui tunavyoumia na Arsenal yetu. Ubahili umezidi, mipango imefikia tamati.Pale Arsenal mapinduzi yanahitajika. Afu cha kushangaza ataongeza tena mkataba
 
kwakweli upepo unakoelekea arsenal wataimiss big 4.everton watawadondosha tu..ni kawaida nshazoea msimu wa kwanza hiwa anapigania kikombe ila msimu wa pili anaishia kugombania big 4.hakuna kocha mzuri asieacha historia nzuri ya heshim kwenye club..uchumi wake unawasaidia vip wachezaji? lazima kikombe kiwepo ili.club ijenge heshima! huyu wenger hafai tena kuna haja.ya kumtafuta kocha makini..namtamani martinez..ngoja tusubiri kipigo kutoka kwa wigan...
 
I think its time for you to pack your things and go....tuachie arsenal yetu wewe ushashindwa maajuzi yako yameishia hapo.....

Iiiiih ndo shida uya cc wabongo...timu ikiwa inafanya vzur oooh loga jembe,akuna kama yy...anajua wot hiz duin...!ikiboronga.....aaaaah MTU gan uyu,ajui ata sabu...ande zake.tuache ii mambo,xoka ina matokeo matatu....kushinda,kufungwa,draw......
 
Wenger analaumiwa kwa kosa la namna anavyowatrain wachezaji wake kufikia kila mwaka Arsenal ndio inayoongoza majeruhi, anaulizwa kulikoni! Hata wale wanaojiuguza wanafanya rehab kwenye nchi zao. Ozil yuko kwa madk Ujerumani, Diaby alikuwa anasimamiwa kuwa fit Ufaransa. Arsenal hiyo angepewa Mourinho ingeshashuka daraja siku nyingi.

Actually angepewa Mourinho , team hii ya Arsenal ingekuwa bingwa msimu huu. Team imekosa confidence tu. Haiwezekani wawe wanaharibu kila msimu zinapobaki mechi 7 tu. Mourinho mbali ya kuwa tactician mzuri. ni mtaalamu pia wa kucheza na saikolojia ya wachezaji. Chelsea ya sasa angepewa mtu kama Wenger, ingekuwa nafasi ya kumi
 
kwakweli upepo unakoelekea arsenal wataimiss big 4.everton watawadondosha tu..ni kawaida nshazoea msimu wa kwanza hiwa anapigania kikombe ila msimu wa pili anaishia kugombania big 4.hakuna kocha mzuri asieacha historia nzuri ya heshim kwenye club..uchumi wake unawasaidia vip wachezaji? lazima kikombe kiwepo ili.club ijenge heshima! huyu wenger hafai tena kuna haja.ya kumtafuta kocha makini..namtamani martinez..ngoja tusubiri kipigo kutoka kwa wigan...
Very sorry mkuu...kweli wewe mvumilivu, unashabikia arsenal? Nadhani utakua mke mwema ....
 
Kwani yule shoga wa kimarekani mwenye hisa nyingi haskii kelele za mashabiki?au ye anaangalia faida tu​
 
Mxmu huu najitoa rasmi kuishabikia arsenal mpk Wenger atakapoondoka emirates,bado nawakubali arsenal
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom