Arsene Wenger has the Best job in World football | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Arsene Wenger has the Best job in World football

Discussion in 'Sports' started by XIII, Sep 18, 2012.

 1. X

  XIII Member

  #1
  Sep 18, 2012
  Joined: Aug 29, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Talks of a new contract for Arsenal manager Arsene Wenger further assert the fact that he has the safest job in world football today. And until Arsenal’s second largest shareholder Alisher Usmanov out*muscles Stan Kroenke, Wenger is at Arsenal to stay.


  How many managers would keep their job after seven barren years? I can’t think of any apart from of course Wenger.


  Yes, with two years to go, Arsenal Chief Executive Officer Ivan Gazidis is eager to tie him down to a new four-year deal which will... Read MORE »
   
 2. kashengo

  kashengo JF-Expert Member

  #2
  Sep 20, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 2,648
  Likes Received: 464
  Trophy Points: 180
  Anafia pale he cannot move elsewhere! We die hard fans like and adore him..in arsene i trust..
   
 3. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #3
  Sep 20, 2012
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  unajua unachoongea au ume copy na ku paste tu
   
 4. steveachi

  steveachi JF-Expert Member

  #4
  Sep 20, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 4,127
  Likes Received: 1,726
  Trophy Points: 280
  yeeeeeeeaaaaaahhhhhhhh,na ndo maana kwa falsafa zake hawezi kwenda kwingine popote kwani timu nyingi haziwezi kukubali ukae muda mrefu bila kuchukua vikombe,nafikiri falsafa zake nyingine za kiuchumi ndizo zinazowafanya menegement isifikirie kumtimua
   
 5. kashengo

  kashengo JF-Expert Member

  #5
  Sep 20, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 2,648
  Likes Received: 464
  Trophy Points: 180
  Si ukweli hata siku moja kuwa AW wenger amesababisha 7 yearz drought kumbuka kuna Board pale! Je wajua walijenga uwanja kwa kukopa £390 with huge interest rates? Je wajua kuwa Uwanja wa highbury ulibadilishwa kuwa Hotel ya Highbury square na mradi umefeli wamepata hasara? Je wajua board ilimkatalia vice president wakati huo David Dein kuleta Kibopa Ulisher Usmanov wakataka Iwe inajiendesha yenyewe?

  JE WAJUA kuwa Mwakani kuna Financial fair play vilabu vitatakiwa kutumia wanachozaliza kama Arsenal wanachofanya?

  JE WAJUA kuwa Brazil mwaka huu walimtaka AW awe kocha wao akachomoa? ENGLAND mara ngapi wanamtaka anagoma? JE WAJUA Real Madrid wamemtaka wenger mara ngapi?

  WHO IS the Second best manager in the history of EPL since 1992 kama hujui ni ARSENE WENGER

  in arsene we trust mpaka anga'tuke mwenyewe
   
Loading...