Arsenal Wenger Aolewa....

Arsenal Wenger Aolewa....

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,412
404885_2896508244335_1009206396_32873202_1928781673_n.jpg Wenger apata Bwana wa kumtuliza
 
Mchumba Wenger huyo..........
 
Utasababisha wapenzi wa washika bunduki waharibu computer zao, angalia sana.
 
Mkuu mambo leo, Mo anavishwa ushanga na Gudi , muda si mrefu
 
sijui nijitoe kwenye JF. Sasa shemeji yenu akio na hii photo na yeye ni mnazi wa Man U nitakuwa kwenye hali gani?
 
Samahani mkuu, hv kwani huyu wenger ni mfuasi wa D. Cameroon?
 
wamebariki ndoa tu hao...........alishaolewa siku nyiiiiiiingi
 
View attachment 46044Wenger apata Bwana wa kumtuliza

Hivi kwa nini 'failure' inahusishwa na jinsia ya kike? Simba na Yanga wakifungana basi aliyefungwa atachorwa katuni kuwa ni wa kike...ile picha ya jogoo (Man Utd) anampanda mtetea (Arsenal) ni baada ya kufungwa last time...hii hapa tena Man Utd kumfunga Arsenala basi Wenger kawa mwanamke na Ferguson mwanaume...

Hivi ndivyo mnavyowachukulia mama zenu/bibi zenu/shangazi zenu/dada zenu/wapenzi wenu wa kike kuwa ni failures?! Kwa nini kila wakati jinsia ya kike ihusishwe na failure? Kwa nini anayefungwa kwenye mpira hasichorwe katuni ya kiume bali ya kike tu?
 
Back
Top Bottom